Recent content by Rohore

  1. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ninyi wapenzi wa Clouds radio mnaenjoy au mnakereka kama mimi?

    Inaboa sana hiyo redio
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ninyi wapenzi wa Clouds radio mnaenjoy au mnakereka kama mimi?

    Mleta uzi njoo kigamboni weekend nikupe safari moja na kitimoto maana daaaah!!!
  3. R

    JamiiForums Tanzania Iringa: Jeshi la Polisi lafungua Jalada la uchunguzi kuhusu Mwanafunzi Abdul Nondo

    Stupidity.. Akili ya kuambiwa .....................!!!! Mpitaji tu.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mchungaji wa KKKT Usharika wa Sinza afariki Dunia kwa ajali

    Pumzika baba.Tunaumia sana tunaokujua
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Maandamano Yanaogopwa Hivi? Ningekuwa Mimi, Ningewaruhusu na Ulinzi Ningewapa na Kuwakaribisha Ikulu!.

    Huyu mamba wamemfuga wenyewe leo anawajambisha kinoma noma.Wamo wengi bado humo ccm awe makini tu kuwaengua
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu zipi hasa hupelekea watu kufanya mapenzi kwenye gari?

    Hiyo inaitwa nipige tafu coz lifti umepewa so piga tafu pia Daaaaadeki
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mauaji yanayoendelea Mwanza; polisi wana mpango gani?

    Poleni sana.Amesikia kamanda
  8. R

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari wanaoshitaki Muungano wahofia usalama wa maisha yao, waomba ulinzi kwa Umoja wa Mataifa

    Fafanua.Sio kuongea ongea tu.Hatari kivipi labda?
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waliooa wanawake darasa la 7 na kidato cha 4 wanafurahia ndoa zao kuliko waliooa wasomi

    Mleta uzi alete na ushahidi hapa pia
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eti niolewe na mfuga kuku. Loh!!!

    Duuuuh!
  11. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilikosea kuolewa na huyu, nimekutana na perfect choice kazini

    Mwalimu wenu nyie wanawake siku zite huwa ni kipofu.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Zitto: Upinzani adui yetu ni CCM, tuweke kando tofauti zetu tushirikiane tuhakikishe kata 3 za Dar CCM haipati hata moja

    Una akili wewe mtoto daaaah!!! njoo makonde vila weekend nikupe maji ya kandoro baaaariiiidiiiiii
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ccm ilikuwa ya Nyerere hii ya sasa sijui kirefu chake ni nini.Ile isomeka kama "CHAMA CHA MAPINDUZI" Kama ukianza toa tafsiri ya neno "MAPINDUZI" Waweza hata usizimalize zote. Hii ccm ya leo chini ya msema kweli kirefu chake ni nini jamani mnisaidie tafadhari.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Picha ya Kwanza ya Dogo Janja na Irene Uwoya

    Tunakotoka tunapajua lkn tuendako hakika hatupajui kabisaaaaaaaaa Kweli dunia ya mwendo kasi hii
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mgawanyiko mkubwa ambao haujawahi kutokea umebisha hodi Tanzania

    Mpole,mwenye nia njema,mzalendo wa nchi na pia msema kweli. Hamna namna. Hatunywi sumu hatujinyongiiiiii (..........) mbele kwa mbeleeeeeeeeeeeeeeeeeeee................... Acha tuisomee namba eeeeeeeee....... Hapo mwisho mwisho kabisaaaaa
Back
Top Bottom