Recent content by Rohore rj

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mbona vifo tata vimepungua sana!?

    Mungu atuepushe kweli kweli na hii Corona. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mwanaume usidanganyike huwezi kumridhisha mwanamke kama hajakuridhia kimapenzi

    Naona mnataka kushindana na mlipotoka nyie vijana.Papuchi iheshimiwe coz pamoja na ushababy wako wooooote umetokea hapo kwenye papuchi so respect plz. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya kukosea kuoa/kuolewa na changamoto za kawaida katika ndoa?

    Wengi waopata tabu kwenye ndoa Ni wale ambao wanaoa pasipo kufanya machaguo sahihi.Endapo mwanamke/mwanaume ikatokea ana msababishia mwenzake changamoto inakuwa ngumu kuvumilia au kuyabeba madhaifu yake Kama hamkuunganushwa na upendo wa kweli.Muhimu Sana upendo wakweli sio uoe au uolewe kisa tu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kaa mbali na plan B ya mwanamke

    Shortly mapenzi hayana formula. Hakuna anaemjua mwanamke hakuwai kuwepo,hayupo na hatakuepo isipokuwa yeye mwenyewe na muumba wake tu.Usipende kupita kiasi.Umempenda mwanamke akizingua piga chini chukua mwingine.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kwenye huu utawala wa Magufuli? Hiki ndicho nilichojifunza

    Mambo ya kijingajinga mfano kuibuka kwa Dr.Shika,Wasiojulikana,Lisu kupigwa risasi na mpka Leo hawajulikani waliompiga risasi.Alfonce mawazo Wasiojulikana walimfyekelea mbali.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Demu wangu kaniambia nacheka kama Yesu baada ya kumpatia pesa

    Umeliwa bro.Yesu wake huyo sio Yesu kristo wa nazareti.Mbona wapo wengi tu mtaani hao yesu. NB.Kuna YESU na yesu.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Wanawake Wana Uwezo Mkubwa Kuliko wanaume

    Lkn weeeeeee .Una akili Sana
  8. R

    JamiiForums Tanzania Amekuwa girl friend wa kaka yangu kwa mwaka mzima na walikuwa wanaishi wote Dar, katolewa mahari na mtu mwingine

    Hiyo inaitwa kamata fursa twende zetu.Aligundua kakaako sio muoaji ndio maana kajiongeza pasipo kumwambia.Akubali tu yaishe
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri please, mke wangu simuelewi, nimemkuta anasagana na mama yake

    Daaah! Hata cha kushauri nakosa sasa.Sema hiyo jeuri ya kukujibu hivyo ndipo pa kuanzia kujiuliza kaipata wapi.Maana ukishajua jeuri yake inatokana na nini kidogo itakuwa mwanzo mzuri. Kumkubalia kulala chumbani kwa mama yake na wewe upo huo ni udhaifu wako wewe hapo simlaumu mwanamke.Kwan...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Semina za kisasa za ndoa zinavyochangia kuharibu ndoa

    Masikini pole yake mzee mwenzangu huyo daaah! Wanawake Hawa Basi tu.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Semina za kisasa za ndoa zinavyochangia kuharibu ndoa

    Huyu mtoa hoja alichoongea hajakosea lkn sio wakati wake muafaka. Bikra sawa lkn dunia tulionayo Leo kuipata hiyo bikra ktk umri wa mwanamke kuolewa I mean 18yrs+ sio rahisi kabisa kwa dunia hii.Inawezekana ndio lkn Ni vigumu mno.Labda uoe kizamani miaka 14,15,16 au chini ya hapo.Na hapo ndoa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Semina za kisasa za ndoa zinavyochangia kuharibu ndoa

    Hapo wewe umebamiza.Wote kimyaaaaaaaa
  13. R

    JamiiForums Tanzania Historia ya neno Msela na Baharia

    Umetishaaaaaa
  14. R

    JamiiForums Tanzania Sipendi mke wangu atumie mitandao ya kijamii

    Hujatueleza ni Nini kilichokusibu mzee
Back
Top Bottom