Mtumbua jipu Wizara ya elimu ina mijipu kuanzia Wilayani hadi Wizarani fedha hizo zinatoka ila wanalipa kwa kuangalia usoni niliwahi kufuatilia Halmashauri ktk orodha ni mtu wa 46 ktk madai fedha imeletwa nilirukwa wakalipwa wanaowajua wao pale Halmashauri madai toka 2013 najuta kuingia sekta...
Majipu kama haya Malimbikizo ya mishahara Madaraja kudharauliwa Usumbufu toka kwa maafisa unapofuatilia Haki zako ndiyo maana tuliikataa CCM wakipuuza pamoja na kutumbuana 2020 msimamo ni uleule.
Rais Magufuli wanyooshe kila mtu ale kutokana na mshahara wake tutaifishe mali za mafisadi ili nchi iwe na adabu pia kifungo cha maisha au kunyongwa tukifanya hivyo heshima itakuwepo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.