Recent content by RogersOne

  1. R

    Lema amvaa Ridhiwani Kikwete, Ni kuhusu umiliki kampuni ya Tanzanite One

    Jamani naomba tumuombee sana huyu ndugu yetu kwa kweli anatu aibisha sana sisi wachagga lakini ndo hyo hatujui jinsi ya kumsaidia naomba sana mumsamehe
  2. R

    Lema amvaa Ridhiwani Kikwete, Ni kuhusu umiliki kampuni ya Tanzanite One

    Wew Mshamba Lema unatuangusha Lema wenzako na wachagga kwa UJUMLA.. achana na siasa mavi za Tanzania kwanza usitegemee kupata Uraisi kwa kutafuta umaarufu..wa haina hiyo yaani unatuletea aibu sana sisi wa kijiji wenzako wa Nronga, Machame. Wewe huoni kwamba umezaliwa kwenye Ukoo wa watu WASOMI...
  3. R

    COMPETENCE BASE CURRICULUM DEVELOPER...with NACTE standards

    Habari za Asubuhi.... Napenda kuwatangazia wadau wote yakwamba nafanya kazi ya kuandaa mitaala yaani Competence Based Curriculum Development ambazo zitatumika kwa vyuo vinavyotumia NTA system ilikupata usajili wa NACTE kwa masomo ya biashara yaani BUSINESS MANAGEMEN, SALES & MARKETING, HUMAN...
  4. R

    Nape atoa neno kwenye Mgomo wa madaktari adai hawana shukrani kwa watanzania

    Kwa taarifa niliyosikia toka kwa chanzo fulani kinasema Pinda alijua kwamba Leo Ulimboka hata kua hai ndo maana jana akasema atatoa msimamo juu ya huu mgomo, sasa imetokea in the opposite Ulimboka amepona kaamua kuhairisha kutangaza msimamo wake ....
  5. R

    NACTE wametu ibia hela zetu..

    Jamani Wana JF hivi kwanini NACTE wamegeuza Mtaji wa kukusanya 20,000 za Technical Evaluation alafu wanasema hawakua na huduma hiyo na mwisho wa kufanya application ni tarehe 30 mwezi huu... sasa sielewi kwa nini wakubali kupokea hela za sisi maskini alafu waje watoe majibu hayo leo hii...
  6. R

    Mnyika fanya kazi yako, la sivyo 2015 utashindwa ubunge

    Nakuunga mkono sana kwakweli hata mimi naona nilifanya kosa sana kumcahua myika yaani barabara ni mbovu sanaaa alafu hata ukimwambia aje tuitishe mchano wa kuleta grader la kisawazisha barabara anasema hana muda majukumu mengi mimi binafisi nimewahi kufika ofisini kwake kumwambia mtaa wetu uko...
  7. R

    Msaada:Kwa walisosoma Bachelor of Science in Civil Engineering

    Hahaha kweli kabisaa hapo umenena siku hizi hakuna mtu mwenye mpango wa kusoma UDSM bora hata uende ardhi kidogo panaunafuu ila St. Agustine ni private institute hivyo lazima utafundishwa vizuri sababu unalia hela yako lakini sio UDSM nimewaona graduate wengi wa UDSM unawapa Ajira alafu hawajui...
  8. R

    Mwanasiasa bora kijana 2012 Tanzania

    Watanzania msiwe watumwa kwa wanasiasa wenu.... naona mnawageuza wanasiasa kua mungu mdogo sasa.. ndo maana kitu akiongea zito kinasikilizwa utafikiri kaongea malaika.. jamani ebu tulieni sasa na mfanye kazi kwa bidii bado umasikini ni tatizo kubwa sana nchini kwetu tuangalie jinsi ya kuumaliza...
  9. R

    Je tanzania bara kuna udini

    Hongera sana kwa sera yako ya kufelishwa mashuleni kwani haina tija hata kidogo nyie waislamu hamtaki kusoma kazi yenu ni kucheza bongo video/Movie( kajala, aunty, wema, muhamud) na kuimba miziki ( Diamond, Sharo millionear,Glly wa rymes, Mwana FA) kufanya uhuni na hata kueneza fujo sasa unavyo...
  10. R

    To Univesity Graduates....2012

    To graduate sio kuvaa Kuvaa joo,T- Shirt na Maandishi Makubwaaa eti UDBS Class of 2005.. Mara Mzumbe University BAF 2010..Mara IFM Bachelor of Information Technology.... Mara MUHAS Doctor of Medicine 2010 Yoteee hayo tunasema ni mbwembwe tuu show us that your a graduate by the ability to think...
  11. R

    Nafasi za Kazi DFID na Ubalozi wa Uingereza: Mshahara kuanzia Milioni 4!

    Kweli kabisaa nakuunga Mkono hata mimi ni bora nimuajiri Mkenya kuliko Mtanzania mwenzangu yaani hatuthamini kazi kabisaa nadhani nikutokana na umasikini wetu
Back
Top Bottom