Msaada:Kwa walisosoma Bachelor of Science in Civil Engineering

Acha kupandikiza mawazo hasi,kwani vyuo vingine vina nini!acha ubabaishaji kwenye masuala ya elimu!
Kijana usilazimishe rangi ya coca cola ifanane na ya fanta. Siku zote utavaa suluari ya saiz yako. Dogo kama umepiga fresh kasome udsm achana na vyuo vya mafisadi.
 
Btech ni Bachelor of Technology in Civil Engineering...broda

Mkuu,Tanzania hii kuna chuo kinatoa hiyo Btech?Maana katika vyuo vingi ni bachelor of science in...or bachelor of engineering in...sasa hiyo btech imeanza lini?Nitafurahi ukinielekeza kama kuna utofauti na kati ya hizo mbili na hiyo btech!
 
Ok huenda kwa hapa bongo hamna...coz mi nilisomeshwa na serikali hiyo course in abroad(ie Bachelor of Techn in Civil Engg) so nahisi kwa hapa bongo hamna chuo chenye hii field..na hii huwa inabamba in everything like geology, environmental, water resources, geotechnical, surveying, transportation, structural..etc....ina content nyingi sana by the way. So hata hiyo Science in Civil huenda iko pouwa.
Nawakilisha
 
Kwa brothers and sisters mliosoma hiyo course hapo juu nlikuwa naomba kuuliza kitu kuhusu hiyo course sababu nimeona kwa UDSM na Ardhi ni miaka 4 lakini kwa St Agustine ni miaka 3,sasa nlitaka kujua je kuna ubora tofauti wa ufundishaji kutoka kwenye hivyo vyuo na je kama kuna utofauti chuo kipi ni bora zaidi kati ya vyote na soko la ajira kwa hiyo course likoje,,
Asanteni sana

Kuianya kozi iwe ya miaka minne ni ili kuwezesha units zinazomuwezesha mtu kumaliza na kuanya kazi kama engineer. Standard, hasa za commonweath kwenye vyuo vinafundisha engineering zikoje? Siyo miaka minne?
na TCU si ndio wanaosimamia hizo standard? Why double standards then?
In short engineering italipa sana baadae maana taratibu tumeanza kufunguka kwenye really engineering investment. Majengo, barabara, pipelines, processing ya rawa materials,telecommunication and computer etc. Manufacturing bado tuna suasua na ole wako uangukie kwenye vile viwanda vya plastic vya pugu road vyenye wataalamu kutoka kulee
 
Ok huenda kwa hapa bongo hamna...coz mi nilisomeshwa na serikali hiyo course in abroad(ie Bachelor of Techn in Civil Engg) so nahisi kwa hapa bongo hamna chuo chenye hii field..na hii huwa inabamba in everything like geology, environmental, water resources, geotechnical, surveying, transportation, structural..etc....ina content nyingi sana by the way. So hata hiyo Science in Civil huenda iko pouwa.
Nawakilisha

Basi kama hivyo fresh!Ila ndio mpaka uende "abroad"
 
Haloo dogo, kwanini usigonge to Hotel Management miezi 6 pale njueni Kibaha then uka anza kula mshahara. Civili Engineering ina mlolongo kaka unless it is yourself esteem.

1. Course miaka 4
2. Fiel mwaka 1
3. Kuatfuta kazi mwaka 1
4. Kupata uzoefu miaka 2
5. Kujenga carrie/stability miaka 10
6. Kujiajiri na ku stabilize miaka 5
7. To become marketable jumlisha miaka yote hapo juu miaka 25 then jumlisha mpaka utakapomaliza shule 22+25 = 47

Queeze.
Umeona Successful Engineer gani mwenye chini ya miaka 50??????
KUWA MJANJA!!!
 
Mmmmm MKUU LAKINI HII INA COME COME
 
dah kaka hiyo inamake sense sana sema kwa hapa bongo c unajua kuwa ni unduguzisation mwanzo mwisho naweza nkasoma hiyo hotel management na baada ya miaka hiyo 25 bado nkawa nashangaa hapa hapa town without ata career ya maana na mshahara wa kueleweka,,ata hvyo engineering ni self esteem kaka..
 
Ok huenda kwa hapa bongo hamna...coz mi nilisomeshwa na serikali hiyo course in abroad(ie Bachelor of Techn in Civil Engg) so nahisi kwa hapa bongo hamna chuo chenye hii field..na hii huwa inabamba in everything like geology, environmental, water resources, geotechnical, surveying, transportation, structural..etc....ina content nyingi sana by the way. So hata hiyo Science in Civil huenda iko pouwa.
Nawakilisha

aisee kaka hiyo Btech wewe ulisoma kwenye chuo gani cha abroad,na ulivyorudi bongo ilikulipa.?
 
Wakuu NA PGM MWENYE III-13 YAANI PHY-E,MATH-D NA GEOG-D LAKINI O-LEVEL HAKUPIGA CHEMISTRY, ANAWEZA KUCHUKUA HII KITU?????
MSAADA WAKUU
 
Haloo dogo, kwanini usigonge to Hotel Management miezi 6 pale njueni Kibaha then uka anza kula mshahara. Civili Engineering ina mlolongo kaka unless it is yourself esteem.

1. Course miaka 4
2. Fiel mwaka 1
3. Kuatfuta kazi mwaka 1
4. Kupata uzoefu miaka 2
5. Kujenga carrie/stability miaka 10
6. Kujiajiri na ku stabilize miaka 5
7. To become marketable jumlisha miaka yote hapo juu miaka 25 then jumlisha mpaka utakapomaliza shule 22+25 = 47

Queeze.
Umeona Successful Engineer gani mwenye chini ya miaka 50??????
KUWA MJANJA!!!

Nimependa jinsi ulivyochanganua mawazo yako,na umetoa na hesabu nzuri tu!Ila sidhani kama kuna mtu ambaye amepiga fresh PCM au PGM anaweza kwenda kusoma hotel management!Hata mimi nisingeweza!
 
Wakuu NA PGM MWENYE III-13 YAANI PHY-E,MATH-D NA GEOG-D LAKINI O-LEVEL HAKUPIGA CHEMISTRY, ANAWEZA KUCHUKUA HII KITU?????
MSAADA WAKUU

mwanangu hyo unaenda kbsaa just angalia kwenye mwongozo wa TCU utaona
 
UDSM wanatoa BSc (Eng.) na huchukua miaka 4, kuna vyuo vingine; hasa hivi vya private, wanatoa Bachelor of Engineering kwa miaka 3.
 
Wakuu eeee...mwisho wa siku mwanafunzi naye ana nafasi yake katika elimu...nasema hiv kwa sababu naona wakuu wamekomalia sana udsm,ardhi,udsm,ardhi....mytake....There is no good university for lazy students....
 
Hahaha kweli kabisaa hapo umenena siku hizi hakuna mtu mwenye mpango wa kusoma UDSM bora hata uende ardhi kidogo panaunafuu ila St. Agustine ni private institute hivyo lazima utafundishwa vizuri sababu unalia hela yako lakini sio UDSM nimewaona graduate wengi wa UDSM unawapa Ajira alafu hawajui kitu chochote mpaka unajiuliza huyu kasoma wai???
 
Kwa brothers and sisters mliosoma hiyo course hapo juu nlikuwa naomba kuuliza kitu kuhusu hiyo course sababu nimeona kwa UDSM na Ardhi ni miaka 4 lakini kwa St Agustine ni miaka 3,sasa nlitaka kujua je kuna ubora tofauti wa ufundishaji kutoka kwenye hivyo vyuo na je kama kuna utofauti chuo kipi ni bora zaidi kati ya vyote na soko la ajira kwa hiyo course likoje,,
Asanteni sana

Sio kweli,hakuna chuo tanzania kinachotoa bachelor ya civil engineering kwa miaka mitatu vyote ni miaka minne
 
aisee kaka angalia kwenye muongozo wa TCU wa mwaka huu St Agustine uone wameandika Civil Engineering ni miaka mingapi..
 
Hahaha kweli kabisaa hapo umenena siku hizi hakuna mtu mwenye mpango wa kusoma UDSM bora hata uende ardhi kidogo panaunafuu ila St. Agustine ni private institute hivyo lazima utafundishwa vizuri sababu unalia hela yako lakini sio UDSM nimewaona graduate wengi wa UDSM unawapa Ajira alafu hawajui kitu chochote mpaka unajiuliza huyu kasoma wai???

lakini mkuu mimi hiyo naona inatokana na mwanafunzi yeye mwenyewe akiamua kumaliza kwa magumashi bila kuwa na ujuzi wowote ni yeye mwenyewe lakini akiwa serious na shule mbona atatoka anajua vema tu.?
 
Back
Top Bottom