Swala la kuoa sio dogo ukurupuke tu kuishi na mwanamke, hata kama unajipigia bure hyo sio sawa, hayo yote yamesabibishwa nayeye kwenda kuzoa takataka zilizozalishwa huko, angefuata taratibu akaoa,
Nilipigiwa mke, maana nilioa single mother, nikauliza kwann umenifanyia haya. Jibu nililopewa, YULE NI MZAZI MWEZANGU, mpaka sasa naangalia kama macho hayaoni
MFANO wewe ni mwanamke Mwanaume wako wa mwanzo amekutelekeza mda mrefu hajui unakula wala unavaa nini hana mpango kabsa wala hawajali watoto wake, akatokea mwanaume mwingne mkapendana atakuwa amekuiba? Je unapenda kuwa single mother muda wote, unakubali kwamba nyie wanawake mliotelekezwa...
Najua humu kuna watu wenye busara na ushauri mzuri kabla cjafanya maamuzi,
Nistori ndefu lakn nafupisha,
Ipo hivi mm nimeoa mke nilimkuta single mother, mwanaume wake wa zamani ndio anatia doa maisha yetu. Mke wangu alijifungua watoto mapacha kwa op, nikapata kazi nje ya nchi. Huku nyuma kumbe...
Kawaida ya wanaume tumeumbiwa tamaa, hakuna mwanaume asiyemsaliti mke wake iwe sirini au wazi wazi, mimi na mke wangu tumepitia changamoto nyingi sana kwenye maisha, amenivumilia kwa mengi toka ajifungue amekuwa wa hospital tu anatoka leo anarudi kesho.
Mimi naishi mbali nae kwa sababu ya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.