Kama ni wewe unaweza kuchukua hatua gani kwenye jambo kama hili?

Rodriquz

Member
Aug 13, 2020
37
139
Najua humu kuna watu wenye busara na ushauri mzuri kabla cjafanya maamuzi,

Nistori ndefu lakn nafupisha,

Ipo hivi mm nimeoa mke nilimkuta single mother, mwanaume wake wa zamani ndio anatia doa maisha yetu. Mke wangu alijifungua watoto mapacha kwa op, nikapata kazi nje ya nchi. Huku nyuma kumbe jamaa kamchukua mke wangu na watoto kawasajiri majina yake ananitishia kuniua cku nikienda kumfata mke wangu.

Wanasemaga ni ujinga kugombania mwanamke lakini saa nyingene inabidi tu kufanya hivyo, kabla hatujabadilishana majengo ya Serikali, nipeni kwanza ushauri inauma sana
 
najua humu kuna watu wenye busara na ushauri mzuri kabla cjafanya maamuzi,

Nistori ndefu lakn nafupisha,
Ipo hvi mm nimeoa mke nilimkuta single mother mwanaume wake wa zamani ndio anatia doa maisha yetu mke wangu alijifungua watoto mapacha kwa op, wakati huo me ckuwepo nilipata kazi nje ya nchi, kumbe jamaa kamchukua mke wangu nawatoto kawasajir majina yake ananitishia kuniua cku nikienda kumfata mke wangu, wanasemaga ni ujinga kugombania mwanamke lakn sanyinge inabidi tu kufanya hvyo, kabla hatujabadilishana majengo ya serikali, nipeni kwanza ushauri inauma sana

Sasa hujaelewa nini mkuu kwamba hao watoto wamepelekwa kwa baba yao wewe unasema wamesajiliwa kwa majina yake. Hayo ndo majina ya baba yao

Wewe ndo unataka kwenda kuiba watoto wa watu usajili kwa majina yako.

Tafuta mwanamke mwingine mzalishe/oa achana na watoto wa watu
 
USHAURI: Mwambie mume mwenza humtaki mwanamke, unataka kuhakikisha tu kuwa hao watoto ni wako. Tumia mamlaka za kisheria, usitumie nguvu.


Ila Stori yako ipo kama vile ww ni wale mnaohubirigi na kuinspire vijana wasioe single mama umekuja kivingine.
 
Mkuu huyo mwanamke hata ukimng'ang'ania ukamrudisha huoni kua utakua unaishi na mke ambae utakua unachapiwa kiuwazi kabisa. Piga chini tafuta mwingine wa kwako kiuhalali oa. Hata hao watoto huenda sio wako ni wa jamaa
 
Mimi mpaka sasa najiuliza jamaa aliyemwoa mama watoto wangu kajiamini nini...!

Maana muda wowote nikiamua namchukua
Huyo mwanamke hata ukimchukua utaishi naye kimabavu tu lakini uchi wake atampa huyo anayeishi naye kwa sasa kila wakati kwasababu kama angekuwa anakupenda asingeachana na wewe akaenda kuishi na mwanaume mwingine
 
Hii Mbona Kama Ngumu Sana Kuamini!!
Iwapo Ni Kweli Basi Mkeo Ndiyo Kimeo Tena Hatari
Alikubali Vp Kuwaandikisha Watoto Majina Ya Baba Mwingine. Mpaka Kampa Tangazo La Kuzaliwa Watoto




Maji Yakija Kwa Kasi Yaache, Yapite
Mwisho Utavuka Salama, Ukishindana Nayo Unaweza Kusombwa.

Naona Wazi Kuna Mchezo Mzuri Sana Hapo
Habari Yako Iongeze Nyama Tuone Ndani Zaidi


Nasema Uongo Ndugu Zangu?
 
Fata sheria za kumuacha kwamba nenda mahakamani ili uivunje iyo ndoa kama utachukua maamuzi ya kuachana naye, usimuache kiholela itkuja kukuumiza mbeleni. Ila kiushauri Fanya uachane naye Ata kama Una mapungufu flani achana na uyo mwanamke utapata mzuri wa kufanya nawe pole snaa
 
najua humu kuna watu wenye busara na ushauri mzuri kabla cjafanya maamuzi,

Nistori ndefu lakn nafupisha,
Ipo hvi mm nimeoa mke nilimkuta single mother mwanaume wake wa zamani ndio anatia doa maisha yetu mke wangu alijifungua watoto mapacha kwa op, nikpata kazi nje ya nchi, huku nyuma kumbe jamaa kamchukua mke wangu nawatoto kawasajir majina yake ananitishia kuniua cku nikienda kumfata mke wangu, wanasemaga ni ujinga kugombania mwanamke lakn sanyinge inabidi tu kufanya hvyo, kabla hatujabadilishana majengo ya serikali, nipeni kwanza ushauri inauma sana
Ulio mke wa mtu mkuu, ila fuata sheria tu kila kitu kitakuwa sawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom