Recent content by RODRIGUEZ NORIEGA DUERTET

  1. RODRIGUEZ NORIEGA DUERTET

    JamiiForums Tanzania Nchi za Kiarabu muda wa kuishinda Israel ni sasa

    Acha kuleta udini na kutafuta huruma kupitia dini,wakati jamaa wa HAMAS wanawashambulia Israel mlikuwa mnawasifia HAMAS,kibao kimegeuka mnaanza kulialia. Je hao HAMAS walitegemea reaction Gani baada ya kuishambulia Israel?Kwamba Israel ni wanawake wangenyamaza tu,HAMAS wamelikoroga huku wakiwa...
  2. RODRIGUEZ NORIEGA DUERTET

    JamiiForums Tanzania TCRA: Ukikutwa unatumia VPN Tanzania, faini milioni 5, kifungo mwaka mmoja

    Hii nchi Ina upumbavu na ujinga mwingi sana,Yani wanaacha kutatua matatizo ya msingi kwenye jamii,wako busy kupambana na ujinga ambao hauna athari Kwa jamii au una athari ndogo Kwa watu binafsi. Umeme tu ni shida,maji,mfumuko wa bei za mafuta hata chakula ni shida,wao wako busy kutunga kanuni...
  3. RODRIGUEZ NORIEGA DUERTET

    JamiiForums Tanzania Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

    We ni mjinga,jibu Hoja za bandari bila kuangalia Hawa ni bandari,Slaa au maaskofu,Hoja ni kwamba 1.kwann waarabu wapewe mkataba usio na mwisho? 2.kwann mkataba haunyeshi sisi tutapata nn?
  4. RODRIGUEZ NORIEGA DUERTET

    JamiiForums Tanzania Je, kusahau ndoto uliyoota muda mfupi kabda ya kuamka huwa ni kawaida?

    Dawa ni kuliewa tu,ukilewa hunting chochote cha zaidi ni kushtuka asubuhi...huelewi chochote.
  5. RODRIGUEZ NORIEGA DUERTET

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mnafanyaje mambo yenu yaende poa?

    Don't Work hard,find the way to work smart then you will thank me later . Technically unachofanya au unayoyafanya Huyapendi,unafanya TU,update ela.
  6. RODRIGUEZ NORIEGA DUERTET

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanamke wa Kuwa mchumba Kisha nimuoe

    Okay mkuu,Grammer error hizo
  7. RODRIGUEZ NORIEGA DUERTET

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanamke wa Kuwa mchumba Kisha nimuoe

    Wabongo mko so negative,ni vema kama Uzi haukuhusu upite kimya maana hujui nn kilicho Ndani ya mtu. Hope everyone aliyeoko hapa ni above 18+,anaweza akafanya convo na mm,if possible tukakutana,kama tumeelewana,tunapeana grace period kuona kama things will work out or not. If yes we will move...
  8. RODRIGUEZ NORIEGA DUERTET

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanamke wa Kuwa mchumba Kisha nimuoe

    Ahahah your welcome
  9. RODRIGUEZ NORIEGA DUERTET

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanamke wa Kuwa mchumba Kisha nimuoe

    Mimi ni kijana wa miaka 31, Engineer by professional,mrefu wa futi 6 kasoro nchi 1,body la kiume na very humble. Nahitaji mwanamke wa kuoa,sifa kubwa zaidi hasiwe na gubu,awe msafi na mwonekano wake uwe presentable,kama ni mweusi awe mweusi natural,kama ni mweupe awe mweupe natural. ANGALIZO...
  10. RODRIGUEZ NORIEGA DUERTET

    JamiiForums Tanzania Hata Manara angekuwa balozi wa Mohammed Enterprises, Mo asingepata faida

    WaTanzania tuna shida mahali,wewe unavyotoa maoni yako ni vile ungefanya kama ungekuwa kama yeye,ila yeye ndo alivyo. toka akiwa miaka 17 ana mapicha magazeti yamemtoa Mtoto wa Tajiri kavua shati baada ya Simba kushinda mechi ya ligi ya mabingwa Africa. Chukulia mfano wa Messi na Ronaldo,wote...
  11. RODRIGUEZ NORIEGA DUERTET

    JamiiForums Tanzania Hata Manara angekuwa balozi wa Mohammed Enterprises, Mo asingepata faida

    Huwezi kulazimisha watu wafanane,Mo anajisikia raha akijipost mapicha,Maboss wa Azam wanasikia raha jinsi wasivyojipost....duniani mungu kaumba kila kiumbe na Tabia zake. Fikiria Dunia nzima tungekuwa hatunywi pombe,hatuvuti bangi,hatupendi chini etc. Dunia ingeboa sana
  12. RODRIGUEZ NORIEGA DUERTET

    JamiiForums Tanzania Vifo mfululizo vyatikisa mji wa Moshi

    Acha ungese,hivyo vitu havina mahusiano
  13. RODRIGUEZ NORIEGA DUERTET

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani wa Kibongo umeimbwa kwa Kiingereza tu?

    Dully yupi,Dully hajui kiingereza
Back
Top Bottom