Vifo mfululizo vyatikisa mji wa Moshi

Vifo mfululizo vyatikisa mji wa Moshi

Usiniquote tena tafadhari

Sina uwezo wa kujadili lelote na wewe

Umeshinda.
Achana nao mkuu utapoteza muda wako bure tu. Kufa wafe huko Moshi halafu walaumiwe Wasukuma. Mama kaleta chanjo waende wakachanjwe, wavae barakoa na kufuata masharti ya wataalamu. Kulaumu Wasukuma hakutawasaidia cho chote.
 
Jiwe angekuwepo lawama zote zingeelekezwa kwake,sasa sijui serikali ifanyeje maana huko Japan walikochoma chanjo juzi wametangaza state of emergency Tokyo na hata mashindano ya Olympics yatafanyika bila watazamaji
Msiwe wapotoshaji. Chanjo zimeonyesha kupunguza vifo na kulazwa hospital kwa asilimia kubwa kabisa. Tahadhari zinaendelea kuchukuliwa kwa sababu siyo watu wote wamechanjwa. Ndiyo kwanza nusu ya watu walioko duniani inakabia kupata chanjo ya kwanza. Wengine hamjui lolote na mnapenda kupotosha.
 
Mzee Stanley shayo ni jiran kabisa hapa maeneo ya njiapanda kcmc,kiukwel kifo chake kimeleta huzun sana ,ni mzee ambaye alikuwa mstaharabu,mkimya ,alikuwa pia hana kelele na watu ,na mda mwingi alikuwa yupo na familia yake na wajukuu ,#my note, msiwe na hofu kuhusu Vifo vya hawa waheshimiwa pengine kwa asilimia 90 ni maradhi ya mda mrefu ,asilimia zilozobaki tuchanganye na akili zetu,Mungu awalinde ,corona ipo tuchukue tahadhari.
 
Usukuma ni itikadi? Misingi yake ni ipi?

Uchaga nao ni itikadi? Misingi yake ni ipi?

Aibu!

SHIMBA YA BUYENZE nisiache kukuitisha kulirejelea bandiko langu kwako kuhusiana na mada hii.

Zaidi sana nisiache kutanabaisha niliowataja kwa majina yao:

IMG_20210711_171356_624.jpg

ambako aghalabu bila shaka hakuna "Shimba mwenye buyenze wala asiye nao."

Aibu? Yes ni aibu kwao ndiyo maana hatuishi kuwananga.

Misingi ya itikadi zao? - vyema kuwauliza wao maana wanajulikana.

Undengereko, ukurya, uchaga, unyaturu kama itikadi - hao sijawasikia labda unijuze.
 
SHIMBA YA BUYENZE nisiache kukuitisha kulirejelea bandiko langu kwako kuhusiana na mada hii.

Zaidi sana nisiache kutanabaisha niliowataja kwa majina yao:

View attachment 1849718

ambako aghalabu bila shaka hakuna "Shimba mwenye buyenze wala asiye nao."

Aibu? Yes ni aibu kwao ndiyo maana hatuishi kuwananga.

Misingi ya itikadi zao? - vyema kuwauliza wao maana wanajulikana.

Undengereko, ukurya, uchaga, unyaturu kama itikadi - hao sijawasikia labda unijuze.
Asante mkuu
 
Jiwe angekuwepo lawama zote zingeelekezwa kwake,sasa sijui serikali ifanyeje maana huko Japan walikochoma chanjo juzi wametangaza state of emergency Tokyo na hata mashindano ya Olympics yatafanyika bila watazamaji

Jiwe kuwajibika? Kulikuwa na uzi hapa:

Ukimwangazia muasisi wa michai chai, malimao, mikaratusi, nyungu na matango pori mengine.
 
Back
Top Bottom