Recent content by rodrigoz

  1. R

    JamiiForums Tanzania Je Lissu kuingia leo Bongo?

    bado anapiga zile nyama na wine za belgium
  2. R

    JamiiForums Tanzania Marekani yaikomalia Tanzania uchaguzi wa Zanzibar

    Mwaka 2016 umegeuka kua jana? Hauko serious ndugu yangu..kajipange upya.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tulivyokuwa tukiiba almasi mgodi wa Mwadui na wenzetu kuuawa

    Mzee alikua na benz yake matata na alikua ananyoa way flani hivi amazing...kawa diwani? Kweli maisha hayana adabu kutoka mining manager mpk diwani ...duh
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Ben, CCM wasikose utu

    Una uhakika? Any proof?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ngoma ya Diamond na Ne-yo imevuja

    Sie wapenz wa ngoma zake mbona tumeipokea uzuri tu wala hatunyimi haki ya kusikiliza mziki...ukitizama watu fln hivi wanatumia sana hilo neno mziki mzuri all the tym...umefanya study gani kujua wapenz wa diamond hawajaupokea wimbo huo vzr hali ya kua wimbo umetoka jana jioni ?
  6. R

    JamiiForums Tanzania TANESCO Tangi Bovu Mbezi beach tumewachoka

    Kuna mti umeangukia nyaya zimedondoka chini hapa nyuma ya future resort karibu na garage, tunawapigia tanesco mbezi beach simu ziko busy tangu asubuhi na zikiita hawapokei, umeme tangu jana usiku umekatika, na nyaya zinaning'inia barabarani kitu ambacho ni hatari sana kwa wapita njia wa miguu...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Uchaguzi wa Marudio visiwani Zanzibar - Machi 20, 2016

    Haya mkuu sheikhe, lets wait n c
  8. R

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Uchaguzi wa Marudio visiwani Zanzibar - Machi 20, 2016

    Sheikhe huo utakua ushabiki kinachokufanya usielewe nini hapo?amesema asubuhi kulikua na watu wengi ila pindi muandishi anaenda pale watu walikua hakuna wameshapiga kura na wameenda zao, kwa safari hii hakuna purukushani sbb cuf hawajajitokeza wamesusia ndio maana hali iko hivyo
  9. R

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Uchaguzi wa Marudio visiwani Zanzibar - Machi 20, 2016

    Hapo hapo wete wasimamizi wamesema watu wanapiga kura wanaenda zao kwa mfano ktk kituo kimoja wapo hapo wete msimamizi kasema anatakiwa kupigisha kura wapiga kura 320 tayari wameshajitokeza 216 so far,
  10. R

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Maelezo yangu kuhusu kazi za Kigoma AllStars/LEKADUTIGITE kwa NSSF na TANAPA

    Tatizo wamesaidiwa kupat kazi wasanii wa kigoma sio arusha wala mbeya ndio maana wanaoendekeza cheap political wameshupalia bango. Zito hajafaanya kosa lolote zaidi kilichopo ni chuki binafsi za wahafidhina
  11. R

    JamiiForums Tanzania Treni ya Mwakyembe: Je ni Maendeleo Au ni kutafuta umaarufu(cheap popularity)?

    haters wako everywhere..hawamchukii mwakyembe wanachukia mafanikio yake..kwani wao walikua wanategemea kufanikiwa ila hawajafanikiwa..duh kz kwelkweli..jembe mwakyembe piga kazi Watanzania tuna tabia ya kuridhika hata kwa kibaya tulicho nacho badala ya kuendelea kutafuta kizuri!
Back
Top Bottom