Recent content by Rodney01

  1. R

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hlf cha ajabu hawatoi electronic receipts
  2. R

    JamiiForums Tanzania FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

    Pira gàmandi limegoma
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila event ninayohudhuria huwa napewa 'first-class treatment'?

    Unaweza kuwa wa level ya chini kuliko au kama wengne but ukaheshimika kutokana na aina ya majukumu unayoyafanya..mfano wazir wa michezo,wa fedha na wa utalii wote ni mawaziri but automatically waziri wa fedha lazima atakuwa na power zaidi kuliko hao wengne kutokana na majukumu yake tuu..na hata...
  4. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

    Nimekutumia msg inbox..ifanyie kazi
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

    Asithubutu kufanya hivyo...kwa waha hilo ni kosa kubwa sana..ipo siku atakuja kuitolea maiti mahari na atafungishwa ndoa na maiti.
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

    Huyo mwanamke kama kweli mnapendana usimuache,mapenzi ya kweli huja mara moja tu ktk maisha..huwezi kumuacha mwanamke wako kwa sababu ya upuuzi wa baba yake..kama na penzi lako dogo
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Afrika Magufuli and Change chaingia Tanzania

    Kinapatikana wapi na kwa sh ngapi?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa ndege Dar es Salaam - Mwanza kwa Tsh 120,000, unaanza Machi 13, 2023

    Kutoka kwa chanzo cha ndani..ni kwamba ilikuwa ni ofa ya siku moja..hiyo ndege ilikuwa imenunuliwa na shirika na ilikuwa inapelekwa Mwanza kufanyiwa uzundizi..ndio ikaonekana lazima angalau pia ibebe abiria kadhaa.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Aache kazi private anakolipwa 1.6m au aende government atakapolipwa laki 7.6?

    Job security na kama anania ya kugrow mfano kama bado anauwezo wa kukiendeleza kimasomo basi aende serikalini
  10. R

    JamiiForums Tanzania ITV ilipofunguliwa mwaka 1994

    Kuna tamthilia ilikuwa inaitwa the neighbors...lenolens mzee wa pikipiki..tangazo la mafuta ya korie dogo mmoja anabugia vitumbua n.k
  11. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na mjomba wake ambaye ni Mwarabu

    Tumekwisha
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tumuombe radhi ambao aliposema tumuombee, hatukujua anamaanisha nini

    Mungu ailaze roho yake mahali pema[emoji120]
Back
Top Bottom