Recent content by RockyII

  1. R

    JamiiForums Tanzania Samsung galaxy s3 for sale.

    urgent cash needed. White Samsung galaxy s3 comes with charger in a mint condition. price 600,000 Tsh. (negotiable.) 0654687403 .
  2. R

    JamiiForums Tanzania Daktari wa Meno

    habari wakuu... hospitali gani inatoa huduma nzuri za kusafisha meno ama kuya ng'arisha yawe meupe na pia kutibu moja linalo sumbua.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Boko Vikawe

    kiwanja kinauzwa boko vikawe. ukubwa ni mita 20 kwa 20.. bei ni mil 11 Tsh. documents zote za kiwanja zipo kamili. kwa mawasiliano zaid piga 0655220039 0717424968 ahasante
  4. R

    JamiiForums Tanzania Customer care representatives

    je hao zantel malipo yao yakojee wakuu msaada kidgo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Msaada Black Berry Bold 9650 verizon.

    nna blackberry bold 9650 verizon haina internet ata nktuma BIS..ss msaada wenu nn cha kufanya.. ahasante
  6. R

    JamiiForums Tanzania Anayeuza Pick Up tuwasiliane

    wakuu habar zenu.. natafu pick up ya kawaida tu ndo nahitaj.. yyte mwny nayo anitumie picha kwny email yng iddronaldo@yahoo.com
  7. R

    JamiiForums Tanzania Jaman natafuta field mwenzenu...

    kma waweza chukua izo barua zko tuma mikoan kwny makampun tofaut achana na dar es salaam...
  8. R

    JamiiForums Tanzania iphone 4 needed..

    wakuu anayeuza iphone 4 iwe unlocked na katika hal nzur ani pm au ncheck 0753566081
  9. R

    JamiiForums Tanzania nahitaj iphone 4s...

    habar wakuu mwny iphone 4s anaweza ni pm nahitaj sana io simu.. bajeti yng lak 5. jioni njema..
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ungefanyaje??

    apo B tu
  11. R

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    kuni ndo source ya energy kwa vijijini...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Unapewa uraisi Tz kwa masaa 24 utatumia vipi nafasi yako?

    1- Mafisadiii wooote ndaaaan yan nafunga kabisa. 2- Wabunge wooote hakuna tena ma VX wala standing or sitting allowance cjui yan posho hakuna tena, ''ubunge ni wito''ndo itakua ivyo. 3- Rudisha migodi yote kwa wananchi. 4- boresha miundo mbinu, afya na elimu nimemaliza vingne vita seto baaadae...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu wa dance(kucheza muziki)

    Angalia video za mzk ambzo wana dance tafuta step up 1 up to 3 angalia chek ata youtube pia. kwaito ukienda club tu utazijua step chache. Kma una aibu pga mambo utapata mizuka ya kudance ukiwa viwanja...
  14. R

    JamiiForums Tanzania JamiiForums game of the year

    catherine kwan haka ka mchezo ujakasoma tu..
  15. R

    JamiiForums Tanzania Je elimu ya vyuoni ni ya kumeza notice au kuna kuna kuelewa ndani yake?!

    lecturer waonana nae kwny test na UE alf wampgia A au B+ kama kawa...
Back
Top Bottom