Unapewa uraisi Tz kwa masaa 24 utatumia vipi nafasi yako?

1- Mafisadiii wooote ndaaaan yan nafunga kabisa.
2- Wabunge wooote hakuna tena ma VX wala standing or sitting allowance cjui yan posho hakuna tena, ''ubunge ni wito''ndo itakua ivyo.
3- Rudisha migodi yote kwa wananchi.
4- boresha miundo mbinu, afya na elimu nimemaliza vingne vita seto baaadae...
 
Unataka na wewe uje na nani kutu join? Just joking,bila shaka utakuja na baby nasty,au vipi?

Yaani hapa umeuliza majibu BEIBE NASTY kwangu mie ndo mzima mpango! Afu fatilia huu uzi juu uone "Ze Katibu" anachotaka kukufanya through pliyze! Sasa huko hun mun utatumia nini? Kidole au Ulimi ?
Atakubakiza na kishina.
 
Last edited by a moderator:
Yaani hapa umeuliza majibu BEIBE NASTY kwangu mie ndo mzima mpango! Afu fatilia huu uzi juu uone "Ze Katibu" anachotaka kukufanya through pliyze! Sasa huko hun mun utatumia nini? Kidole au Ulimi ?
Atakubakiza na kishina.

We mwache au praise huo mnara wake
 
Wivu niutoe wapi Kiongozi wakati niko na BEIBE NASTY raha zote za dunia bby ananipa!
Namimi Bank A/c zangu zote vitabu nimemkabidhi .

mkabidhi tu baba maana tunaambiwa kuwa bnadam huwa robo ni chiz sasa siku zikmpanda utaliaje kudadek!!
 
Back
Top Bottom