Ungefanyaje??

IrDA

JF-Expert Member
Aug 26, 2010
743
350
UMEPITA KARIBU NA ATM, UNAKUTA IMEKOROFISHA INAMWAGA MANOTI HOVYO JE?
a) Utampigia simu meneja wa benki
b) Utatatafuta rambo ujisevie
c) Utaenda kuwaita watu wengine nao wachukue
d) Utajitahidi kuzuia pesa zisitoke
e) Utakimbia wasije wakasema wewe ndio ulieharibu mashine yao
 
Kulingana na hali ya maisha ya sasa, hapo jibu sahihi zaidi ni B. Imani ya namna nyingine hakuna tena.
 
Dogo jifunze kuuliza maswali badala ya majibu. We huoni kuwa B siyo swali bali ni jibu?
 
Hapo hakuna jibu sahihi, jibu sahihi ni unavua shati unaweka noti unafunga kama frushi la pamba kwa waliovuna pamba watanielewa au unavua soksi zote mbili unatupia noti hasa kama soksi ni ndefu, kuanza kutafuta mfuko wa rambo ni kupoteza muda.
 
Mie nina hand bag kubwaaaaaaa...Nitazihifadhi hizo noti kiulaiiiiini
 
itabidi niangaze kutembea na rambo.......lakini cjui kama hii yaweza tokea......nina wasiwasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom