Recent content by Rocky017

  1. Rocky017

    JamiiForums Tanzania Kwa ujenzi huu wa Uwanja wa ndege Chato, Rais Magufuli anatukatisha tamaa "watu wake"

    Huyo barafu ni mtumishi viwanja vya ndege tumekupata kwa jina halisi endelea naona kazi imekuchosha
  2. Rocky017

    JamiiForums Tanzania Now days mbs za Tigo zinaishafasta

    Hata mimi ukijiunga tu zinaisha faster nataka kuhama
  3. Rocky017

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu UTI

    Pima vdrl kwenye damu huenda ni std
  4. Rocky017

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu UTI

    Nendeni mkapime VDRL huuenda pia kuna kaswende iko weak pimeni hospital zinazo aminika utajua ila kama una mpezi razima wote mtibiwe hata kama yeye hana dalili lazima atibiwe na uliyewahi tembea nae mwambie atibiwe
  5. Rocky017

    JamiiForums Tanzania Sina raha kinyesi changu kinatoa harufu mbaya sana

    Kunya maji ,pombe acha
  6. Rocky017

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam azindua barabara ya Shimo la udongo

    Hongera mkuu wa mkoa
  7. Rocky017

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anachat na li mtu wanaitana "MY"

    My maana yake changu. Ila tulia msome saikolojia vizuri
  8. Rocky017

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Toka niachwe nikiambiwa 'nakupenda' namchukia huyo mwanaume

    Sikupendi kabisa wewe dada (hapo unajisikia vizuri)
  9. Rocky017

    JamiiForums Tanzania Ili niwe Rubani wa Ndege Nifanyeje?

    Kuwa rubani ni kazi kidogo na sio lazima uwe PGM ndio uweze kuwa cha mhimu hesabu na kiingereza. Na familiya yako iwe na fedha na si vijisent ndo utaweza kusoma Tanzania unaweza kwenda ulizia JNIA terminal one huwa naona kama wapo chuo cha umma nadhani hakuna.mshirikishe mungu sana unaweza...
  10. Rocky017

    JamiiForums Tanzania Vurugu Dodoma: CCM wamfanyia vurugu Mbunge wa CHADEMA

    Huo sasa si uungwana
  11. Rocky017

    JamiiForums Tanzania Hivi vilaza tutasoma chuo kikuu kweli?

    Kwa hiyo unatutanfazia au. Aya utapata za saizi yako
  12. Rocky017

    JamiiForums Tanzania Doctors Vs Engineers

    Engineering ni ufundi
  13. Rocky017

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli, basi NECTA ni janga

    NECTA NA NACTE chunguzeni. Hapa kazi tu.
  14. Rocky017

    JamiiForums Tanzania TSNP: Tumeungana na LHRC kupinga malipo ya asilimia 15

    Acheni hizo mulikuwa wapi muda wote toka muumiambiwa hamtaki wadogozenu wasome.Mgeenda mahakamani kwa ajili ya wanafunzi wapewe mkopo nigewaona wamaana sana.
Back
Top Bottom