Recent content by rocaren

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kwa wanawake ambao hajawahi kufika kileleni karibuni hapa

    Nipe ujanja
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ngoja nijaribu kufungua dimba la majina ya Koo mbalimbali nchini Tanzania

    Mlumba Magurusa Kitila
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wake amemzidi kielimu, kipato hadi kimaisha, Je watawezana kama wakioana?

    Mwambie aache fikra potofu, eti kwasababu mwanamke kamzidi basi ndoa haitakuwa na amani kama aliona amezidiwa na hana uhakika na hayo aisha ya ndoa si angetafuta wakufanana na anavyotaka yy
  4. R

    JamiiForums Tanzania Western movies zinakotupelekea ni kubaya

    Kama huijui 24 kaa kimya sio kujiongelesha uonekane unajua movie, eti jack boer ni shoga! Ile ni movie iko kikazi zaidi sio kama hizo movie nyingine za kishamba
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hivi huku ni kukosa mshipa wa aibu au ndio uzungu mwingi?

    Ha ha ha haaa ss akuonee aibu kwani ww ni kaka yake?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Penzi Changa:- Let us share experience

    Oooooh my God, those moments was so real and lovely, love was so pure everytime u wish to be together hakukua na kuchokana hatamkishinda wote siku nzima akiondoka tuu mdahuohuo unamiss tena.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Vyuo 3 bora vya sheria Tanzania ni vipi?

    Tumaini huwezi kuitoa ndani ya tatu bora, penye ukweli tu seme tu.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nadhani huyu dada atakimaliza kifua changu

    Ha ha haaaa yani nimecheka sanaaaa
  9. R

    JamiiForums Tanzania Wimbo gani unaoendana na tukio linalokugusa unaukumbuka wakati wote?

    Have u ever by brand
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi mwenzangu ananipenda na nina mke nifanyaje?

    Unatafuta ushauri gani wakati umesema unamke nyumbani? au unataka tukuhalalishie huo uzinzi?
  11. R

    JamiiForums Tanzania What women want after sex

    Nice subject maama wengine huwa wanabaka wenza wao wakisha ridhika wao hawana mpango na wenzao
  12. R

    JamiiForums Tanzania Someni hapa waungwana mnisaidie mimi limenishinda

    Nahisi hujakua unatakiwa ukue
  13. R

    JamiiForums Tanzania Someni hapa waungwana mnisaidie mimi limenishinda

    Kilitokea nn?
  14. R

    JamiiForums Tanzania Someni hapa waungwana mnisaidie mimi limenishinda

    Acha kuzungusha we sema ulifanya nn watu wakuone ulivyo mburula wakuchane live ili sikunyingine usijitutumue wakati hua uwezo.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Tumwambie mumewe ukweli au?

    Usiwe chanzo cha ndoa yao kuvunjika acha wayamalize wenyewe think if you were the one ungependa mkeo ajue ulioyafanya?
Back
Top Bottom