Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,239
- 113,612
Vyuo bora vya sheria Tanzania?
Ingawa elimu ya chuo kikuu ni jitihada ya mwanafunzi mwenyewe kwa kada hii chuo ulichosoma kinamata sana kwani inategemea zaidi nani amekupika. Kwa maoni yangu top III ni kama ifuatavyo;
1. UDSM
2. MZUMBE
3. RUCO (Hapa wanaofundisha wengi wao ni products za UDSM na MZUMBE) na hata part timers wao ni wa UDSM na Mzumbe
Kwingineko ndugu yangu utakua half cooked. Nayasema haya kutokana na uzoefu wangu nikiwa Law School of Tanzania.
kWA KUONGEZEA ELIMU YA JUU KAZI YA PROF NI KUKUSYSTEMITIZE JINSI YA KUIELEWA BASIC NA FRAME WORK YA KNOWLEDGE KWA 30% WEWE UNAISEEK 70% KWA DIRECTIVES ALIZOKUPA SASA UNAONA CHUO KINANAFASI NDOGO MNO KUKUCHANGE WW KAMA WW SI MTU MAKINI ,KIPIMO:JIULIZE WANASHERIA WONDERFUL WANAFOMULA YA WANAKOTOKA ?
kwa taarifa yako na ukitaka kuhakikisha muone gerald ndika principal akupe data mpaka sasa hakuna chuo kilichotoa mawakili wengi kutoka law school kama tumaini!