Kasema kweli. Mbeya watu wanawahi sana kufunga biashara na kwenda kulala. Binafsi naona baridi inachangia pia.
Kuhusu miundombinu, ni kweli barabara zinawatia aibu.
Kimsingi ni kweli wananyanyasika. Haki ni mbaya na sasa ni zaidi ya miaka 3 au 4 serikali ikeshindwa kumalizia barabara ya rami kuanzia kipande cha kutoka Uyole hadi Mbalizi.
Kiukweli wale watu wanateseka. Nilipita huko majuzi, sijajua nini wanatakiwa kufanya kuishinikiza serikali iwawekee...
Hii nchi ya ajabu sana na hatujui lengo la haya maigizo ya yule mfungwa hususani wa kiume yanamaanisha nini.
Binafsi, namfahamu yule jamaa na kama kuna mtu wa Newala anaweza akawa anamjua yule jamaa.
Yule jamaa wa kiume sio mfungwa na hajawahi kufungwa popote. Namjua na anaishi Newala...
Nilitaka kuandika comment kama hii. Umeniwahi. Cha kuongezea tu, mi nisingenuambia afiche ujinga wake bali ningemuambia "afiche uchi wa akili yake" kwani sisi tuliokuwa hatujawahi uona uchi wa akili yake, sasa tumeuona.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.