Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,119
- 6,230
- Thread starter
- #21
Hahahaha umeongea ujinga sana mkuu.Hizi ni akili za kitoto sana , mwanamke this mwanamke that.
Wewe unaweza ukawajua vipi wanawake ikiwa wewe sio mwanamke.
Ni sawa na Masikini awajue matajiri wakati hajawahi kuwa tajiri
Is about hearsays
Maandiko yanasema kabisa muishi nao kwa akili...
Kama unataka ndoa ya amani Kuna umuhimu sana wa kumjua mwanamke wao na sio mwanamke ni wanawake