Recent content by robllynly

  1. robllynly

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Naikumbuka sana Madrid ya mzee ancellotti,it was fantastic one. Walikuwa wamekamilika sanaaa walikuwa na pase,ya hatariiiiiiiii sana. Hakukuwa na reason ya kunfukuza.
  2. robllynly

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Ni kweli marcelo ni gud Lb.BT kwa alaba ni Habari nyngine kaka,marcelo ni mzr sana kwenye kushambulia (attacking)bt defensive hayupo more clinical zaid. Alaba anauwezo mkubwa sana wa kuattack,na kudefend pia,alaba timu ya taifa huchezeshwa midfielder.so kwa mantic hyo alaba anacheza no nyingi...
  3. robllynly

    JamiiForums Tanzania Mkimbizi aliyejengewa sanamu

    Gud analysis brooo
  4. robllynly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuna wanawake wasiofika kileleni hata wakutane na nani?

    0717537875 Tuma hizo video mkuu.
  5. robllynly

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Kwani kikosi cha Madrid mwaka msimu uliopita na huu apa kinatofauti gani Kwani.?ukiachana na kubadilisha coach tu.
  6. robllynly

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Daahhhh nimechekaaa sana,aisee ni kwelii kabsaaa
  7. robllynly

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa hafai kuwa Rais na ni balaa kwa Taifa

    I think something is wron somewhere........sijaona hoja nzuri na zenye mashiko kutoka kwa mchungaji huyu.
  8. robllynly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa riwaya za Kiswahili, mzigo wa 'Mkimbizi' wa ndugu yetu Tuwa, huu hapa

    Huyu jamaa kapotelea wapi tena,series yetu imekata tena.?
  9. robllynly

    JamiiForums Tanzania Kombe la Shirikisho Live: Yanga Afrika vs Etoile du Sahel

    Kwani kaka,kina manyika,isiaka,ndemla,kessy,tshabalala,ajibu,wapo sawa kwa umri na kina Joshua,canavaro,yondani,ngasa,niyonzima,twite,na sherman.? Swala la msingi ni kusema na kukubali kuwa. Wachezaji wa simba wengi hawana hadhi ya kucheza simba na pia hawana uzoefu wa kutosha.
  10. robllynly

    JamiiForums Tanzania Audio: Askofu Gwajima awajibu Polisi Kuhusu kuitwa aende kujieleza

    Kwa kweli Nazan hili kulijua vzr hili jambo ni vyema tukaacha itikadi zetu na mahaba yetu zen tukasikiliza kwa makini na weredi wa hali ya juu clip ya Kwanza ya pengo zen tukafuata ya gwajima huku tukijiuliza urazma wa gwajima kumjibu pengo kwa staili kama ile.Nazan tukianzia hapo tutakuwa kwnye...
  11. robllynly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vincent na hukumu ya kunyongwa-ni kweli aliuwa familia yake?

    One of the best post,aisee nimejifunza kitu kuwa investgation ikifnyka vzr nazan kupata evidence vzr na za ukweli ni rahisi sanaa,naza proffesor wa wadudu ndo alimuangamiza sanaaa na ndo alieanza kuijenga kesi,zen hao vimada wake ndo wamemalizia kabsaaaa
  12. robllynly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya Kitapeli

    Daahhhh namuonea huruma sana huyo mama,huyo kjana angekuw basi gentleman wa akili yake,nazan malipo ni hapahapa dunian. Siwez kumlaum sana huyo mama,unapo kuwa kwnye mapnz unashndw kutofautsha kati ya baya na zuri,tunao mpondea huyu mama tujiangalie kwa makin,hata ss tumekosea kwnye mapnz yetu...
  13. robllynly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata mume wa maana, mwenye maisha mazuri Bongo hii

    Daahh gud reasoning,I lyk u kiukweli,hata mm niliyaona hayo mashimo aliotuachia,niliona matumiz yalikuw mengi ila pesa ndogo,so nn kiliendelea apo.......mm na ww hatujui.
  14. robllynly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata mume wa maana, mwenye maisha mazuri Bongo hii

    Well said,I real lyk ur brain.
Back
Top Bottom