Vincent na hukumu ya kunyongwa-ni kweli aliuwa familia yake?

yani mtambuzi umeniacha hoi na hii kesi! yani kwa upelelezi huu kweli wenzetu wanafanya kazi. yan tunge kuwa na watu kama hao huku kwetu na dhani mauaji ya kilasiku yangepungua. MTAMBUZI USISAHAU KUMALIZIA I LE STORY
 
ruttashobolwa .............Ipi tena mkuu................ Nikumbushe basi
 
Last edited by a moderator:
Ni Ijumaa nyingine tena, kama kawaida nimekuja na kesi hii iliyotokea nchini Marekani. Ni kesi ambayo kwa kweli inasikitisha sana na ninaamini wengi watajifunza kutokana na kesi hii. Mengi yamejieleza na sina sababu ya kuongeza chochote. Kikubwa ni kuwausia wanaume wenzangu waliooa kwamba tuwapende wake zetu na familia zetu, kama tukiendeshwa na mihemko ya kupenda ngono matokeo yake yaweza kuwa kama haya. Zamani tulikuwa tunasema kwamba matukio ya namna hii yanatokea kwa wenzetu, lakini kwa jinsi siku zinavyozidi kwenda tumeanza kushuhudia matukio ya kutisha yanayofanana na haya.

Unaweza ukawa mahiri katika kupanga mikakati ya kutekeleza kile ulichokusudia, iwe ni kudhuru au kuuwa, lakini sayansi na teknolojia imeleta mapinduzi makubwa katika kufanikisha upelelezi wa kesi ambazo zimeonekana kuwashinda magwiji. Mfano mzuri ni kesi hii ya Vincent Brothers.
mtambuzi nakukubalii sana mzee so interesting...sipendi kusoma vitu virefu ila case zako zinanivutiaa big up..mtiririko mzuriiii
 
Duh! Duniani kuna mambo..... ukaue familia yako kabisa? si bora ungeatelekeza tu kuliko kuwauwa?
Huo msululu wa wanawake nao umeniacha hoi, hata hapa kwetu wapo wenye tabia hiyo ya vincent.

Mtambuzi hongera sana kwa kutuletea kesi zenye mafundisho lakini bado nakuomba utuletee kesi ya Sara Simbaulanga iliyovuma sana miaka ya themanini
 
Nimekuelewa ram, lakini nina maombi ya kesi zaidi ya 20, ambazo nimeombwa niziweka hapa, nahitaji muda wa kuziandika na kuzihariri kabla ya kuziweka hapa, naomba unipe muda..............
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: ram
mkuu senksi kwa kutupa kitu cha CSI ya ukweli kwa njia ya text.....yaani kama naona vile hizo scene hasa hiyo evidence ya wadudu nimeikubali....
 
One of the best post,aisee nimejifunza kitu kuwa investgation ikifnyka vzr nazan kupata evidence vzr na za ukweli ni rahisi sanaa,naza proffesor wa wadudu ndo alimuangamiza sanaaa na ndo alieanza kuijenga kesi,zen hao vimada wake ndo wamemalizia kabsaaaa
 
Back
Top Bottom