Barua FEKI, haina hata sifa za kuitwa ni barua ya Makamu wa rais
Nimedokezwa mbinu yao ni ile ile waliyotumia kwa Ndugai. Wamewatumia akina Ayo, Kitenge, na wote wanaosambaza habari kwa malipo ili ionekane ni barua halali. Wanachohakikisha ni kwamba Nchimbi hapati nafasi ya kuzungumza jukwaani...
Inakuwa ya 'Nyoko!' Unaelewa maana ya uchumi kukuwa?
Miradi yote ilianzishwa na Magufuli, nayo imemshinda! Huyu kaanzisha nini? Hizi hadithi zenu za kusifia mtu hovyo ndo zinatufanya miaka yote tubaki hovyo!
Kila mjinga wa CCM akiingia munasifia. Kila mwaka wakati hakuna lolote miaka 60 ya...
Ndo maana nikasema hii siyo taaluma yako. Unachofanya ni kuandika nadharia za darasani; Hayo mambo ya agri-tourism.
CCM lazima waambiwe waache ujinga ktk nchi. Lazima itumike lugha kali. Nchi iko hovyo kuliko unavyoamini. Uwezo wa viongozi ni mdogo kuliko unavyoaamini. Rais anatafuta misaada...
Nahisi hiyo siyo taaluma yako na hujui uwezo wa DRC ktk kilimo. Anakuja kulima nini TZ? Mahindi na Mpunga? ardhi iko wapi? au kuwafukuza wenyeji kama alivyofanya Mkapa na kulima miwa kwa kiwanda cha Mtibwa?
Tuache kuhamisha ujamaa wa CCM na kuamini fikra sahihi ndo mafanikio ya nchi.
Fursa za...
Hii ni taarifa ambayo imekuwepo kwa muda kupitia Asasi zisizo za kiserikali. Ukiwa na elimu unashindwa kuamini haraka kwamba kweli tunaongozwa na watu wadhaifu kichwani kiasi hiki? Yaani huu ndo mwisho wa kufikiri wa wana CCM na serikali wanayaosema ni yao?
Soma hapa...
Nawe unajiandikia ujinga-ujinga tu! Wewe leo hii unavyoona kuna nani serikalini mwenye akili?
Samia alipokwenda Russia uliambiwa faida ni kuwekeza kwenye Mahoteli. Huyo ni kiongozi au mzaha wa akili? Mahoteli ndo yanamsafirisha rais?
Hali ya hewa na ubora wa ardhi Congo ukilinganisha na...
Kwa maelezo haya unachoweza kusema ni kwamba tuna rais mwenye uwezo mdogo kabisa Afrika Mashariki.
Jambo baya kabisa yuko kwenye kundi la madikteta waliowahi tawala nchi ya Afrika. Kwa Afrika Mashariki, tangu tupate UHuru, huyu ni dikteta wa pili kujitokeza baada ya Idd Amin
Hali ya Tanzania kwa sasa ufisadi hakuna sababu ya kusema kuna ufisadi, kwa sababu ni kama imeruhusiwa na viongozi wa nchi, lakini ni vibaya sana kwa tunaoona yanyaofanyika kunyamaza bila sababu pia.
Waziri Mkenda anaendelea kung'ang'ania sula la Samia scholarship kwa kisingizio cha kuinua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.