Recent content by Robert Heriel Mtibeli

  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani na Abdul wana busara sana

    Sio rahisi ukiwa mfuga mbwa. Ukisikia mbwa wanabweka ukaanza kupishana nao kelele. Au nawe kubweka. Ndichi kilichopo
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani na Abdul wana busara sana

    😄😄😆😆
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Dilemma ya kumpenda mwanamke mwenye mtoto

    Kuna watu wanaupeo mdogo sana. Hawajifunzi hata kwa wanasiasa
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Dilemma ya kumpenda mwanamke mwenye mtoto

    Hii ni point kubwa. Hilo swali yeye mwenyewe angetakiwa amuulize huyo dada nani atakuwa na wajibu wa kumlea huyo mtoto. Jibu la binti litaonyesha future ya hiyo ndoa yao. Binti lazima aseme wazi kwamba jukumu na wajibu wa kumtunza huyo mtoto ni la Baba mzazi na yeye(mwanamke) na sio la huyo...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Unapaka mafuta ya Jero alafu mpenzi wako umemnunulia mafuta ya 50k. Jipige kifua jiite wewe ni msukule.

    😆😆😀🫢 Kama wanawake ndio wenye ngozi yeye hana. Basi anahoja
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Unapaka mafuta ya Jero alafu mpenzi wako umemnunulia mafuta ya 50k. Jipige kifua jiite wewe ni msukule.

    Elimu ya ngozi haisemi hivyo. Na hilo jua Hayo mafuta ya nazi yatafanya nini? Kama umesoma walau kidato cha nne. Unaweza kumuuliza ChatGPT kwamba anakushauri utumie mafuta ya aina gani kwa mazingira yenye jua kali. Yeye atakuambia bila kificho. Tabia ya nchi imebadilika. Usiacha kubadilika pia
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Unapaka mafuta ya Jero alafu mpenzi wako umemnunulia mafuta ya 50k. Jipige kifua jiite wewe ni msukule.

    Watu wenye upeo mdogo huwaga mimi ni mkufunzi wao. Baadhi wanajua hili wananiomna msaada niwa train alafu kuna wale vichaa ninadili nao kilazima lazima. Yaani kidikteta. Watake wasitake
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Unapaka mafuta ya Jero alafu mpenzi wako umemnunulia mafuta ya 50k. Jipige kifua jiite wewe ni msukule.

    Wewe tunakujua na Itel yako alafu demu anataka simu ya 900k. Huyo ni wakuchapa aiseeh
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Unapaka mafuta ya Jero alafu mpenzi wako umemnunulia mafuta ya 50k. Jipige kifua jiite wewe ni msukule.

    Hamjambo! Kujitambua ni pamoja na kutunza uliyonayo. Akili yako, hisia zako, roho yako, mwili wako. Na mengineyo. Ngozi yako ni sehemu ya baraka ulizopewa. Hivi kweli ngozi yako thamani yake ni kuipaka mafuta ya jero au mafuta ya kula? Mafuta ambayo sio ya ngozi unapakaje kwenye ngozi yako...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Who is your best JF member of all time?

    Napokea Mkuu. Shukranj
Back
Top Bottom