Mawazo yako mazuri tu, ila hakuna upinzani unaoanza ukiwa imala, kwenye vyama kuna sasa zake, pia hata muunganiko wa vyama kuna siasa zake, napenda nikudhibitishie ya kuwa upinzani tulio kuwa nao ni imala, Chadema, Cuf nzanziba, NCCR. Siasa zao zinaendana, kudhoofika kwa upinzani kunasababishwa...