hata kama kasema hivyo,sidhan km alikuwa anamaanisha hatuwezi kupigana na malw,isipokuwa swala hilo halipo ktk mipango ya serikali kwa sasa.yapo mambo ambayo yakitokea kwa hakika lzm uingie vitani kwa hali yyote.nadhani njia ya mazungumzo bado ni njema ktk swala hili la malw.
Jamani eee!hizi thread za zitto na urais zimetuchosha sasa!hebu jadilini mambo mengine,mwacheni huyo mwenye ndoto za kuwa Amiri jeshi. Aendelee kuziota!.
Cdm,kuweni makini na huyu zitto huenda huyu akawa'kitanzi' chenu 2015 Mungu akitujalia kufka huko,kuna kipindi nilisikia mlimpigia kura ya kutokuwa na imani naye na kumsimamisha kwa muda kama naibu kub,angalieni sana mjue chama chenu angalau ndo watu wanakiona km mkombozi wa wanyonge.hivyo...
Ni kweli kbs zitto huwa haonekani hata kwenye mikutano ya chama chake kama wenzake,hapo utasikia yupo kwenye shughuli nyingine za kichama!.kweli zitto 'huyu'siyo yule.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.