Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,312
Naona jinsi wanachama na wapenzi wa CDM mnavyochangia ,halafu ndio mpewe nchi ,ni bora CCM ikazuia hapohapo ,bado hamjafikia kuachiwa nchi mkaongoza ,mmechooka kwelikweli ,hamna kitu vichwa vitupu na mawazo mgando ,angalau mmepata cha kuandika.
Haya subirini 2015 ,mushuhudie CCM inavyoibuka kidedea.na ndio mwisho wa CDM.
ulitegemea wachangie point kwe nye post isiyokuwa na maaana kama hii? This thread is total trush,nipe fanta baridi moja.