Recent content by rnaluyaga

  1. rnaluyaga

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kikwete ameteua wanajeshi na watu wa usalama kuwa wakuu wa tume ya uchaguzi

    Muache achezee amani ya inchi hii lakini akumbuke kuwa yakitokea hawezi kuondoa ndugu zake wote
  2. rnaluyaga

    JamiiForums Tanzania Jaji Damian Lubuva anakwenda kuweka historia mpya Tanzania

    Atende haki ili adhidi kupata thawabu
  3. rnaluyaga

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi waliosambaza Video ya Dr. Slaa akiingia chumbani Serena Hotel wafukuzwa kazi

    Msema kweli ni mpenzi wa mungu
  4. rnaluyaga

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

    Unaumwa pamoja na wasaliti wenzako,
  5. rnaluyaga

    JamiiForums Tanzania Nani anawapa kiburi Wachina katika nchi hii?

    Serikali
  6. rnaluyaga

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amteua Amos Makala na Rugimbana kuwa wakuu wa mikoa

    Ni lini wasomi wanaotoka vyuoni watashika madaraka katika inchii ikiwa watu hawasitaafu
  7. rnaluyaga

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mazishi ya Mohamedi Mtoi, Lushoto - Tanga

    Akifa musa , joshua anachukua kijiti
  8. rnaluyaga

    JamiiForums Tanzania Waliosema Dk. Slaa, Prof Lipumba yatimia rasmi CHADEMA

    Ni vema ccm wakakubali matokeo tu , wasipereke inchi pabaya
  9. rnaluyaga

    JamiiForums Tanzania Mkapa, Mwinyi ‘waguswa’ na mabilioni ya Uswisi

    kwa nini wanaweka pesa nje wakati hapa kuna mabenk kibao
  10. rnaluyaga

    JamiiForums Tanzania Pinda awasili Doha na msafara wa viongozi 11 wakiwemo mawaziri 5 kutoka Tanzania

    ni lini sisi tutakoma kutafuta hisani
  11. rnaluyaga

    JamiiForums Tanzania RPC wa Mkoa wa Simiyu aamrisha Mkurugenzi wa Meatu kumtangaza mgombea wa CHADEMA mshindi

    huyo hana tena sifa za kuwa mkurugenzi ni bora afukuzwe tu
  12. rnaluyaga

    JamiiForums Tanzania Ukweli ambao prof.Muhongo ameficha

    aachie ngazi tu
  13. rnaluyaga

    JamiiForums Tanzania Zambia imechoka sana inataka hurumu za Mungu

    ndo mazunguu haya
  14. rnaluyaga

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ameliweka rehani jimbo lake la uchaguzi la Hai-Kilimanjaro

    hamna lolote mbowe ni kamanda
  15. rnaluyaga

    JamiiForums Tanzania Sakata la ESCROW: IPTL na PAP Watinga Mahakama Kuu kuomba ufafanuzi wa Kisheria wa Maazimio ya Bunge

    hii ni dhalau kubwa anayoyafanya huyu sing seth
Back
Top Bottom