Waliosema Dk. Slaa, Prof Lipumba yatimia rasmi CHADEMA

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
Lowassa ni CCM B sasa anaenda kuwekewa pingamizi la kisheria kwa kuwa kesi inakaribia kupelekwa kwa Pilato. Sasa walioyatabiri yametimia sasa ukawa itakuwa ukiwa bila kuwa na mgombea uraisi.
 
Raila Odinga aliisubiri sana ile mahakama ya icc imuokoe dhidi ya kenyata, Matokeo wote tunayajua.

Lowasa nampa kura yangu.
 
Tunaimaniiii na lowasaaaa oya oya oyaaaaaaa. Kweliiiiiiiii kweli kweli kweli lowassa, lowasa kweliiiiii. Ccm mwisho wenu October.
 
Sasa hapa ndio NEC au mahakamani?
Au tukusaidie nini?
Kalale ili uendelee kuota ndugu.
 
fungue mapema...tumechoka kila siku yale yale...hamna single mpya?!
 
Ahahaha Siasa ya Bongo inavituko sana. Ukiangalia wengi wanaocomment kwa upande wa utetezi ni wale miezi michache

nyuma walikuwa wanasema CCM chama cha mafisadi, Lowassa ndio fisadi mkuu. Leo wote wamebadilika, mpaka Oct 25

tutaona mengi.
 
wahusika wapo ccm akipelekwa ujue ccm wote mmeisha maana alikua chini ya....
 
Lowasa kweli atakuwa amewashika pabaya mh! Wamesahau hata kunadi sera ili tuwaelewe kwanini tuwachague tena
 
Sasa ndio naanza kupata picha ni jinsi gana Uhuru Kenyatta alijiingilia ikulu kirahisi kiasi kile!
 
Back
Top Bottom