Nani anawapa kiburi Wachina katika nchi hii?

Ile project ya Afrika kusini inabidi iwahusu wachina
Hii nimeikuta humu JF ya tarehe 7 April 2014 !!

Watanzania na biashara ya ukahaba nchini China
Mara kwanza nilitonywa kuhusiana na kushamiri kwa biashara ya ukahaba inayofanywa na Watanzania nchini China. Sikuchukulia seriously juu ya hili suala, lakini inaonekana kweli lisemwalo limo. Lakini bado najiuliza inawezekanaje Watanzania 40 kukutwa katika hoteli moja nchini China kwa wakati mmoja huku kila mmoja akiwa na mitikasi yake Halafu kati yao, 38 ni wanawake. Kwani kuna mkutano mwingine wa wanawake Beijing huko China?

Hii imetokea huko Macau nchini China ambapo polisi wamewakamata makahaba wa Kitanzania baada ya kutonywa kuwa kulikuwa na makahaba waliokuwa wakifanya biashara za kuuza miili yao kwenye hoteli moja iliyopo mji wa Central District. Baada ya kuwakamata makahaba wanne wa Kitanzania, polisi walianzisha msako hotelini hapo ambapo walikuta wanawake wengine 38 na wanaume wawili ndani ya vyumba vitano vya hoteli hiyo. Ajabu wote walikuwa ni raia wa Tanzania wenye umri kati ya miaka 19 na 38.

Hata hivyo, wengi wa Watanzania hao walikanusha kujihusisha na ukahaba. Wengi wao walidai kuwa walikuwa wanasubiri kuingia China au kurudi nyumbani Tanzania. Hata hivyo, kulikuwa na mwanamke mmoja wa Kitanzania ambaye aliiambia polisi kuwa alilazimishwa kufanya biashara ya ukahaba nchini China. Mwamanke huyo alidai kuwa alipewa ofa ya kufanya kazi kama mchuuzi jijini Guangzhou lakini baadae alilazimishwa kuwa kahaba. Kipato chake chote cha ukahaba kilikuwa kinachukuliwa na mwanamke mwingine. Amedai kuwa alienda Macau kwa ajili ya kuongeza visa yke.

Mwanamke huyo aliendelea kuimambia polisi kuwa Aprili 3 mwaka huu aliwambia wengine hakutaka kuendelea kuwa kahaba na kuwa alitaka kurudi nyumbani lakini akakamatwa chumbani kwake na kupigwa. Baadae polisi walimkamata mwanamke anayedaiwa kuchukua kipato chake chote na kumkuta akiwa na aina mbili za nyaraka zinazoonyesha dalili za kufanya biashara ya ukahaba. Nyaraka ya tatu ilikutwa mikononi mwa mwanamke mwingine.

Njanja tz Olecranon

​
 
Last edited by a moderator:
Ile project ya Afrika kusini inabidi iwahusu wachina
Njanga Tz Gor Kashishi

Jamani tusipende kulalamika.

Wenzetu wanazitumia fursa, safi sana.

Shughuli hizi ndizo kila siku watu wanadhidharau na kuziona hazina maana na zile nyingine watu wanadiriki kuziita za kimachinga.

Wazawa wanataka kuuza sura, kutaka mambo makubwa.

Sasa waacheni wenzenu wapige bao
 
Hamna free lunch duniani.

Mnajengewa uwanja wa mpira, reli, chuo cha jeshi na kupewa mikopo za riba ndogo.

Hata kije Chama kingine, mtazidi kuomba mikopo kwa Wachina.

Angola wamekopa dola bilioni 20 kwa Wachina. Serikali haiwezi kulipa deni. Wachina wanalipwa kwa mafuta na contract za ujenzi.

Kama hamtaki wageni kufanya kazi Tanzania, msiwakope. Jitumeni wenyewe.

Tuone kama Lowassa au mwanasiasa yoyote atakayekuja atakuwa na ubavu wa kukataa kukopa kwa Mchina.

Pili, China wanasaidia sana Waafrika kuwapa mali za bei nafuu na kazi. Kuna Waafrika wengi wanaishi China, wanafanya biashara.
 
Kusema ukweli mchina si mtu mzuri kabisa
 
Group six ni watu wa ovyo kabisa. Yani mchina anaweza kukunasa mpaka vibao na ukimshtaki unafungwa wewe ndani ya nchi yako.
 
Sheria ipo ila imepuuzwa ( the investment Act) kwa kuingia mikataba mibovu ... Mkuu anayemaliza muda wake ndio kawakaribisha.
 
Ile mikataba 28.aliyosaini rais wa uchina unaijua wewe?
 
Jk na Ccm yake wameivuruga sana nchi yetu hii nzuri
 
Ccm ilishauzaga nchi ila lowassa anakuja kuikomboa upya viva lowassa viva✌✌✌✌✌
 
Back
Top Bottom