Recent content by rmashauri

 1. rmashauri

  Who is Christina Shusho historically?

  Wamemchakachua dada wa watu. Mbaya sana.
 2. rmashauri

  Unazuia sherehe za Uhuru, unaadhimisha birthday ya CCM

  Sherehe za CCM hazitumii pesa ya serikali. Wanatumia pesa za chama chao ambazo haziwezi kutumika kwa mambo ya kitaifa. So elewa hilo,
 3. rmashauri

  Dk Sinare aula tena

  Yaani hapo ndo CHADEMA nawaona si wazalendo kabisa. Ni mbwa mwitu waliojivika ngozi ya kondoo.
 4. rmashauri

  WanaCCM Vunjo wasusa kuendelea na kampeni

  Gamba ni Lowassa na ninyi washabiki wake. Au ulikuwa hujuwi hili?
 5. rmashauri

  Dr. Magufuli akimnadi na kumpa ilani Mbunge wa Vunjo - Innocent Shirima

  Kabisa mkuu. Lowassa tangu akiwa CCM alikuwa anaungwa mkono na Rostam, Chenge, Karamagi etc. Hawa jamaa CCM wako vivuli ila miili yao iko na Lowasa na hata kura watampigia Lowassa. Mbele ya Magufuli hawana meno na biashara zao haramu lazima zidode tu. Wanapambana ili Lowassa achukue nchi...
 6. rmashauri

  WanaCCM Vunjo wasusa kuendelea na kampeni

  Mtashangaa kuona Magufuli akimgalagaza vibaya ENL
 7. rmashauri

  Natoa msisitizo, UKAWA yapoteza ngome yake muhimu Arusha

  Wamebadilisha? Nilisikia Magufuli anamalizia jijini Mwanza kisha anaenda Chato kupiga kura
 8. rmashauri

  Dr. Magufuli akimnadi na kumpa ilani Mbunge wa Vunjo - Innocent Shirima

  Majambazi walishahamia UKAWA aiseee!
 9. rmashauri

  Magufuli anaweza asiwe Rais wa nchi hii

  Team Lowasa bado mna hangover ya kukatwa fisadi wenu, lol.
 10. rmashauri

  Wananchi kanda ya ziwa waanza kurudisha kadi za CHADEMA!

  Kwa wabunge sawa ila kwa rais wasahau. Magufuli ni jembe
 11. rmashauri

  Urafiki wa Lukuvi na Magufuli umeanza lini?

  Amwache kwenye hiyo wizara ya ardhi, nyumba na makazi, anaiweza sana.
 12. rmashauri

  Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

  Kiuhalisia huyu ndo anafaa kuwa rais wa Tanzania kwa sasa. Nchi itanyoka.
 13. rmashauri

  Ofisi ya Auditor General hoi

  Katika ofisi ambazo zinakusanya pesa nyingi kutoka kwa wateja wake hii ni mojawapo. KUna taasisi ndogo tu ya serikali ninayoijua na wakienda kukagua mahesabua ambayo huwachukua takribani wiki 3 na idadi yao huwa watu kama 4 huwalipisha milioni 20 na zaidi. Sasa huko kwingine kwenye maofisi...
 14. rmashauri

  Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

  What? Lowasa? GOD forbid.
Top Bottom