WanaCCM Vunjo wasusa kuendelea na kampeni

WanaCCM Vunjo wasusa kuendelea na kampeni

vunjo ccm ina wagombea wawili.mmoja anaitwa mrema na mwingine shirima.wanavunjo chagueni mabadiliko achaneni na ccm...
 
Anachopania kutenda mtu mbaya ni uovu; hata kwa jirani yake hana Huruma (Mithali 19:10).(CCM NI JANGA) Njia ya waovu imejaa miiba na mitego; anayetaka kuhifadhi maisha yake ataiepa.Mithali 22:5). Apandaye dhuluma atavuna janga;uwezo wake wa kutenda mabaya utavunjwa (Mithali 22:8).(EPUKA UTAWALA WA CCM) Mwovu atapata pigo ambalo halitampata mtu mwema, mkosefu ataadhibiwa badala ya mnyoofu.(Mithali 21:18) (CCM ITAPATA PIGO KATIKA SANDUKU LA KURA)
Anayekataa kusikia kilio cha maskini naye hatasikilizwa atakapolilia msaada (Mithali 21:13) (CCM HAIJASIKILIZA VILIO VYA MASKINI,KAMWE HAITASIKILIZWA MAOMBI YAO)
Haki ikitekelezwa watu wema hufurahi, lakini watu waovu hufadhaishwa (Mithali 21:15).(NEC WAKITENDA HAKI CCM WATACHUKIA)
Achungaye mdomo na ulimi wake hujiepusha na matatizo (Mithali 21:23).(MATUSI,KEJELI ZA UGONJWA MATATIZO YAKE NI MAKUBWA)
Kura hukomesha ubishi; huamua kati ya wakuu wanaopingana.(Mithali 18:18) (25.10.2015 KURA ZITAAMUA LOWASSA KUKOMESHA UBISHI)
 
Tukiwambia mpeperusha bendera ya CCM; John Joseph Pombe Magufuli sio meneja bali ni nyapara tu; mnakasirika na kupiga kelele kama mabata yaliyoko kwenye "heat"!!

Jamani ili Magufuli afanye jambo lifanikiwe bila kusababisha hasara na usumbufu kwa taifa na jamii kwa ujumla; shurti awe "supervised"; ni lazima awepo mtu mwingine wa kumuongoza! vinginevyo ni lazima atachafua hali ya hewa kama sote tulivyoshuhuidia kwenye mizunguko yake ya kampeni; No wonder kuna baadhi ya wajumbe wa timu yake ya Kampeni za "Matusi" wamejikata kiaina; kimya kimya!!

Mshahara wa dhambi ya kuteuliwa "kimagumashi" ndio huo; Magufuli hatoshi; bado saana!! poleni sana watani wetu magambaz! Peeeepoz!!
Na ndio maana urais kwa lowassa haukwepeki..kwa mustakabali wa Tanzania yetu ni lazima ENL awe mkuu wa nchi!!!
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Back
Top Bottom