hi kweli haitakuwa na impact kwenye chaguzi zijazo kweli, na wanamahenge watalichukuliaje ? Nawadhani leo usingizi utatoweka kule kwa wale marehemu, maana mategemeo ya walio wengi hayakutimia, na kila mtu anahisi kulikuwa kuna njama ya wale waliokuwa watuhumiwa kuachiwa, si vyema kumuhukumu mtu...