Recent content by Riyamiy

  1. R

    Marekani yasitisha rasmi Ufadhili wake wa MCC kwa Tanzania

    Hahahaha. Magufuli nae Jipu atumbuliwa na MCC.
  2. R

    ZEC hadi sasa ipo Kimya kuhusu Kura zilizokosewa kwenye Uchapishaji

    Hahaha. Chuzi la vivyo....... Hongera Mkuu umenifanya nifurahi sana.
  3. R

    Maalim Seif aiondoa familia yake Zanzibar

    Wasiojielewa ndio wataamini kuwa Maalim ameondosha familia yake.
  4. R

    Maalim Seif aiondoa familia yake Zanzibar

    MSHUMBUSI. Wewe ni Muongo usie na kifani, unaonekana hata kwa Mungu wako utasema uongo, njoo nikupeleke kwa Bi Awena na familia yake wapo, km hutomkuta nyumbani kwake unikate kichwa. Kazi yenu kusema uongo kwenye mitandao tu km huna la kusema nyamaze kimya. Kwani ukinyamaza kimya itakuwaje?
  5. R

    Msemaji wa CUF, Hamad Massoud akamatwa Zanzibar

    Wewe wacha uongo una uhakika kuwa ndie aliekuwa anaratibu watu kutupa mabomu? Muogope Mungu wako Km Unae.
  6. R

    Zanzibar: Pemba hali ni tete, vurugu kati ya Polisi na raia

    Sorry. Picha tatu ndio kuna Daladala 'LDV' ndio la KIJICHI SPICE 511.
  7. R

    Zanzibar: Pemba hali ni tete, vurugu kati ya Polisi na raia

    Hiyo sehemu ni Bububu Polisi, kwenye njia Panda inayokwenda KIJICHI SPICE. Pemba hakuna Sehemu kunaitwa BUBUBU wala KIJICHI. na Dadadala zinaenda KIJICHI zimepewa namba 511 na hapo ktk hiyo Daladala kwenye picha ya Kwanza utaona kumeandikwa SPICE 511 yumkini hiyo ni daladala ya huko, na hayo...
  8. R

    Zanzibar: Pemba hali ni tete, vurugu kati ya Polisi na raia

    Hiyo sio Pemba jamani wacheni kutudanganya, hiyo ni Unguja na inaonekana hizo Picha sio za Jana wala leo. Ukiangalia kuna Daladala ya KIJICHI-SPICE (511). Mleta mada tuambie ukweli, hali ya Pemba haiko ivo.
  9. R

    CUF watoa tamko zito, Taarifa kwa vyombo vya habari

    Allah ndie hakimu wa haki. Madhalimu wana mwisho wao.
  10. R

    Wasaidizi wa Seif wapigwa na butwaa

    Hahahaha. Ama wewe kweli Vundo, Hamad Haji anahusika vp na Malipo ya Hoteli? Kwani hakuna Accountant? Hamad Haji ni Mlinzi tuu. Dudu Vundo Weee!
  11. R

    Wasaidizi wa Seif wapigwa na butwaa

    Andamana saivi usisubiri J3, maana anaendelea kutia hasara Serikali. VUNDO WEEE
  12. R

    Maalim Saif atoke hotelini akakae rest house ya jeshi

    Majina ya Eddy sio Wajinga km wewe, nadhani hili jina umepewa wakati wa kutahiriwa. Kwani Maalim ameomba kulipiwa Hoteli? Si Hashuo la Magufuli mwenyewe. Mm naona Maalim akae hapo mpaka achoke mwenyewe.
  13. R

    Tetesi: Uchaguzi wa marudio ni kupika matokeo ya Urais. CUF itarudishiwa majimbo yote ya uwakilishi

    Siamini km CCM wana Mbinu au Maarifa, ila naamini kuwa CCM ni Wajinga waliofutu ada.
  14. R

    Live channel ten .Balozi Karume ndani ya je tutafika?

    Ilikuwa wa Kubaki Milele ni Mtume Muhammad S.a.w tu lkn Allah amemchukua itakuwa CCM? inaonekana hata dini hana huyo, Hajui hata Uwezo wa Mola wake Mlezi ukoje.
  15. R

    Balozi Seif :Hatuoni sababu za kurudi kwenye mazungumzo na CUF

    Na huyo atakaeshughulikia wenzake nae asisahau ipo siku nae atashughulikiwa. Sisi Waumini wa Kiislam tunaamini Malipo kutoka kwa Allah (Sw) yapo.
Back
Top Bottom