Kwa kweli JPM ana roho ya huruma sana na kaahidi kuangalia namna ya kumsaidia kumlipia deni la hotel, nachosema sioni sababu ya kuingia gharama zote hizo wakati kuna rest house za serikali. Anaweza enda kaa Lugalo jeshini kuna rest house nzuri tu, pale mbweni JKT pana rest house nzuri maarufu kama ndege beach anaweza pumzika hapo na kupata upepo mwanana pia.
Kwanini tuingie gharama kumlipia hotel wakati tunazo rest house za kutosha?
Kwanini tuingie gharama kumlipia hotel wakati tunazo rest house za kutosha?