Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,846
- 43,322
Wasalaam wana jamvi!
Baada ya baadhi ya vyombo vya habari kumnukuu Bwana Lowasa na Seif wakibadili gear angani na kusema wako tayari kurudi kwenye mazungumzo sharti shughuli za maandalizi ya uchaguzi wa zanziba usitishwe ...leo hii Balozi seif amelizungumzia swala hilo na kusema wazi haoni sababu ya kurudi tena kwenye mzungumzo na CUF wakati wao ndio walivunja mazungumzo hayo kwa hiyo hakuna sababu ya kurudi tena na isitoshe maandalizi ya uchaguzi yamesha anza!
Nami naungana na Balozi seif kuwa hakuna sababu za kurudi kwenye mazungumzo ikiwa walioyo yaanzisha mazungumzo waliyasusa baada ya kushauriwa vibaya na UKAWA wakiongozwa na Lowasa!
Sasa leo hii CUF wanataka kurudi kwenye mazungumzo ili iweje ikiwa waliyakataa? Nini kiliwaondoa na sasa kina warudisha?
CUF wanachotakiwa sasa ni kujiandaa kwa uchaguzi si mazungumzo tena...wasisikilize ushauri mbaya wa Chadema hasa Lowasa lasivyo chama chao kitajifia!
Source :ITV