Live channel ten .Balozi Karume ndani ya je tutafika?

Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
5,905
7,817
Namsikia hapa anaongea habari za wazanzibari asili na wasio asili ni chuki na fitna akiõngozwa na Makwaiya wa Kuhenga .Siasa hizi ikiwezekana ziiishie huko sizipendi.Nñyerere amka baba.
 
Huyo anasema tanzania tugombee ubunge ,uwakilishi na udiwani tu ila uraisi ubaki kwa ccm milele
 
Ilikuwa wa Kubaki Milele ni Mtume Muhammad S.a.w tu lkn Allah amemchukua itakuwa CCM? inaonekana hata dini hana huyo, Hajui hata Uwezo wa Mola wake Mlezi ukoje.
 
Hamna shida uzuri dhambi ya ubaguzi inaendelezwa na vijana wa waasisi waliochukia ubaguzi na kutuonya Mkianza kujibagua leo mimi Mnzanzibar na yule Mtanganyika ,haita ishia hapo ? Mkimaliza kubaguana kwa utaifa ,mtabaguana kidini ,kikabila ,ubaguzi wa rangi ,dhambi ya ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu uzuri tu hatujakosa wa kutuonya ,Mpumzike kwa amani Wazee wetu
 
Nimemsikia ajabu Makwaiwa amefurahia sana sumu alokua akimwaga huyu chizi
Makwaiya hana busara ni aibu kwa tasnia ya habari,ni mtu mzima hovyo. Kwanini anatuetea upuuzi wa ali huku bara? Cuf imejitoa si wamtangaze Shein bila kutuletea siasa za kijuha?
 
All Karume ni Mlinzi wa Mapinduzi matukufu ya 1964 yaliyoongozwa na Hayati Baba yake.
Kaka yake Amani katekwa na Mkewe Shombe shombe Shadya kaamua kuishia CUF kasaliti msimamo wa Mzee wake
 
Ilikuwa wa Kubaki Milele ni Mtume Muhammad S.a.w tu lkn Allah amemchukua itakuwa CCM? inaonekana hata dini hana huyo, Hajui hata Uwezo wa Mola wake Mlezi ukoje.

Dah, Huyu mshua angeendelea kubaki hai sijui dunia ingekuwaje aisee!!
 
Back
Top Bottom