Mtakumbuka ZEC ilituhabarisha kuhusu karatasi za kura zilizochapishwa vibaya kule South Africa kwa kukosewa majina ya wagombea na majuzi wakatuambia wametuma kikosi kazi kule South Africa ili kura hizo ziweze kuchapishwa tena upya na kufika Kule Zanzibar tarehe 17.3.2016, leo ni tarehe 19.3.2016 hatujapata taarifa rasmi ya kura hizo sahihi kwamba zimewasili na kupokewa pale Zanzibar ambapo kesho ndio uchaguzi Tume ya Uchaguzi Zanzibar ipo kimya kuhusu hili hadi dakika hii.
Mwenye taarifa zaidi kuhusu hili.
Mwenye taarifa zaidi kuhusu hili.