Msemaji wa CUF, Hamad Massoud akamatwa Zanzibar

5525

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
5,412
6,279
Mheshimiwa Hamad Masoud amekamatwa asubuhi hii na Polisi.

Hamad Masoud alikuwa Waziri wa Miundombinu na Mwakilisihi wa Chama cha Wananchi CUF Jimbo la Ole kisiwani Pemba, pia ni Kaimu Msemaji wa chama cha CUF.

9215_987668164604387_185384109858002844_n.jpg
 
Aksante sana Amiri Jeshi Mkuu. Jakaya kawapa Rais Mpemba Dr.Shein japokuwa CCM znz ilikasirika sana, akaitisha NEC Butiama June 2009 akawashinikiza CCM wakubali Mseto lakin Mwishowe Seif anahutubia Wapemba wenzie anasema Msimuone Kikwete anacheka cheka ni Mtu mbaya sana kwa Zanzibar, Sasa kapatikana anaeipenda Zanzibar.
 
Tuwaombee Uchaguzi wa Salama, kuchochea au kutiana hofu haitasaidia, Zanzibar kuwa na fujo haimaanishi kuwa upande wa bara tuko salama, hili si tatizo la wazanzibar ni la watanzania wote, Mungu tunaomba ulipiitishe salama hili jambo.
 
Back
Top Bottom