Recent content by Risenshine

  1. R

    JamiiForums Tanzania Tuwaombee wenzetu Japan- hebu cheki yalowakuta kwa tetemeko la ardhi

    Majanga mengine ni mapigo ya maonyo ila ndiyo wanakuwa wagumu kuelewa. Kuna mambo yakifanywa na nchi yanakuwa chukizo mbele za Mungu na huleta mapigo. Mf penis festival waliofanya unadhan Mungu anaichukuliaje? Bado wana masanamu ya ajabu ajabu kama taifa. Tutarajie mapigo kwa nchi nyingi maana...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nimenunua kitu ebay, nitakipata bila tracking number?

    Ushuru upo ila inategemea na sheria zetu. Mfano nchi nyingine wameweka utaratibu kuwa purchase yoyote ikizidi let's say dola 50 utalipa 25% ya original price ya hiyo bidhaa. Tatizo kwetu mambo hayako transparent na inakuwa kama tunawindana vile. Mara ukimkuta huyu anasema lipa ukimkuta yule...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nimenunua kitu ebay, nitakipata bila tracking number?

    Mhhh hapo kuna walakini! Utapokeaje mzigo bila post box? Labda kama unaletwa kwa DHL. Otherwise umeingia eBay fake!
  4. R

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vya Ulaya vyazidi kuiandama Serikali ya Tanzania

    Tunamuandama bure Jecha! Yeye alipewa instructions tu. Inawezekana kabisa moyoni hakuridhia but he couldn't decide otherwise!
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kimarangu ni hatari

    Acha mawazo potofu!
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A husband/Life partner

    You must be a good hearted person. Keep it up!
  7. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A husband/Life partner

    Hahaha! Anza wewe!
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A husband/Life partner

    Sijui kimekukasirisha nini hivyo rafiki! Perhaps I'm born that way as you have figured me out. But the good thing is there some men out there dying to get this kind of person your talking about! We have diverse interests, likes and wishes! Don't try to influence people to see things through your...
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A husband/Life partner

    No offence my young brother! Those are your opinions! I have the choice to give them weight or otherwise! Nice day!
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A husband/Life partner

    You will wait until dawn! Hata Sarai aliposubiri possibly kuna waliompa comments kama zako. Ila Muda wa Mungu ulipofika Isaka alizaliwa. Jifunze kuwaombea wengine mema ili nawe uweze kuvuna mema!Sikukuu njema!
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kabla hujawa mzazi, kuwa tayari kuwa mzazi

    You have said it all! Malezi yetu yako very formal hatuna muda wakuwasoma watoto wetu wala kuchunguza what they want to be. Matokeo yake tunawalea wawe kama tunavyotaka sisi na siyo kuwasaidia wawe who they want to be!
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A husband/Life partner

    Amen! Ubarikiwe sana!
  13. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A husband/Life partner

    Thank you brethren! Be blessed!
  14. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A husband/Life partner

    Well.. I tried to understand your message and I can say that's your thoughts. No offense my friend!
  15. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A husband/Life partner

    To be honest so far so good! Nawa encourages wadada wasihofie kuitumia JF if at all they mean what they want.
Back
Top Bottom