Nimenunua kitu ebay, nitakipata bila tracking number?

Nimenunua kitu ebay, nitakipata bila tracking number?

Electronic devices ninamaanisha kitu kama simu ya mkononi, nimeuliza kwasababu kuna mtu wa dhl aliniambia ukituma kitu mfano laptop kupitia dhl kuna ushuru utatozwa. Pamoja na yeye kuniambia hivyo nilimuona hana uhakika na anachoniambia. Lakini wewe nimekuelewa vizuri. Asante sana.
Ushuru upo ila inategemea na sheria zetu. Mfano nchi nyingine wameweka utaratibu kuwa purchase yoyote ikizidi let's say dola 50 utalipa 25% ya original price ya hiyo bidhaa. Tatizo kwetu mambo hayako transparent na inakuwa kama tunawindana vile. Mara ukimkuta huyu anasema lipa ukimkuta yule anasema usilipe. Nadhani ni muda muafaka tuhoji kila utaratibu kujulikana wazi. Waweke posters nk ili kupunguza doubts na inconveniences!
 
Electronic devices ninamaanisha kitu kama simu ya mkononi, nimeuliza kwasababu kuna mtu wa dhl aliniambia ukituma kitu mfano laptop kupitia dhl kuna ushuru utatozwa. Pamoja na yeye kuniambia hivyo nilimuona hana uhakika na anachoniambia. Lakini wewe nimekuelewa vizuri. Asante sana.

DHL lazima ulipe maana bidhaa zinafanyiwa manual inspection na kuna agents wazuri wa TRA pale
Swali lako Post ya Juu liliuliza mizigo inayokuja kwa posta
 
Nashukuru mungu ile pesa waliyo cancel oda yangu waliirudisha moja kwa moja kwenye account yangu
 
DHL lazima ulipe maana bidhaa zinafanyiwa manual inspection na kuna agents wazuri wa TRA pale
Swali lako Post ya Juu liliuliza mizigo inayokuja kwa posta
Niliuliza hivi kwa kutaka kujua kama kila kitu mtu anachopokea kutoka nje ya nchi aidha kwa kukinunua online au kwakutumiwa kupitia dhl huwa kinatozwa ushuru
 
Back
Top Bottom