mie naona tusianze kumsema kuwa alikuwa kwa EL au wapi ila tunasema karibu na aanze kutetea chama! najua ana wafuasi wengi arusha na kwingineko awalete kwenye chama cha wazalendo na vijana wanaotaka kuikomboa nchi kwenye mikono ya ukoloni mambo leo
Mie kama nilimvyomuelewa Raisi ni kwamba watu watapewa kujadili kuboresha muungano na si kuvunja muungano! mie nakubaliana naye kwani kuna wahuni ambao wanakuja na kauli za kibaguzi kama kina jusa! watu hawa hawafai na raisi anajua ndio maana kaweka hicho kikwazo! jadili namna ya kurekebisha na...
kuna jimbo ambalo wananchi wake huwa wanapima nani mkweli na nani ni muongo kisha wanampa kura, sio jingine bali ni jimbo la moshi vijijini! kwa jinsi navyoelewa watu wa moshi vijijini chadema wakiweka nguvu kidogo sana wanachukua lile jimbo kama kumsukuma mlevi vile!
changamoto yangu ni...
Clouds tusiwaseme wanawafikishia ujumbe watanzania kuwa ni aina gani ya viongozi ambao tumewapa dhamana! Wahuni na washenzi!
Clouds hawana makosa! Wanasikilizwa karibu nchi nzima hivyo wametumia nafasi yao kufikisha ujumbe! Mia nina wasiwasi na aliyekuwa akiukana kama ni mzima au la!
Note...
watu 127,455 walioandikishwa katika daftari la kudumu la wapigakura, wanatarajiwa kupiga kura katika vituo 327 ambavyo vimepangwa kwa ajili ya uchaguzi huo
tusubiri tuone hivyo ni vituo ambavyo vinafikika kwa urahisi bado vile vituo ambavyo ccm huwa inachukulia point
watu 127,455 walioandikishwa katika daftari la kudumu la wapigakura, wanatarajiwa kupiga kura katika vituo 327 ambavyo vimepangwa kwa ajili ya uchaguzi huo
tusubiri tuone hivyo ni vituo ambavyo vinafikika kwa urahisi bado vile vituo ambavyo ccm huwa inachukulia point
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.