Recent content by rimbu

  1. rimbu

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nip itigi singida nataka kwenda halmashauri ya siha moshi 0753674598
  2. rimbu

    Hizi ni Sababu kwanini Scotland Yard na FBI hawana uwezo wa kuchunguza Kushambuliwa Tundu Lissu

    Hiyo ya uingereza kujiunga na umoja was ulaya nikituko!
  3. rimbu

    Suluhisho la biashara ya madawa ya kulevya hii hapa.

    Huo nintazamo na mawazo yako ila Mimi ninafikiri kuua nateja sio suluhisho kwakuwa utakuwa utakuwa unatumia matokeo badala ya chanzo cha tatizo.wauzaji ndio chanzo cha tatizo na hao ndio wakupigwa shaba.
  4. rimbu

    Mtaalam asema Watanzania tujiandae kwa Msiba mzito muda wowote Daraja la Mto Wami

    Sisi mpaka mwezi was decemba ndio tutaenda kuhesabiwa.
  5. rimbu

    Toka Bungeni: Mali mpya za Makonda zatajwa, atakiwa aseme pesa anatoa wapi

    Unapotaka kusafisha njia nilazuma use msafi kwanza,kama ni mchafu yeye!atasafishaje yeye wenzake?
  6. rimbu

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo manyoni singida nine wilaya ya siha Kilimanjaro. 0753674598/0784127752
  7. rimbu

    Hawa ndio Manabii na Mitume matapeli, tumechoka kuwavumilia sasa

    Bibilia inasema!watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
  8. rimbu

    Mmiliki wa mabasi ya Zakaria amenidhulumu mali yangu na kutishia kuniua

    Hugo Zakaria ninani ambaye hasikii vyombo vya dola wala viongozi wa ke kiroho?ninaimani kuwa hapa kuna viongozi wengi was seriksli na watalichukulia hatua.
  9. rimbu

    Kufuru: Kikwete alitumia takribani Milioni 4 kwa siku moja hotelini Serengeti

    Kweli unachukulia kawaida matumizi ya shilingi 4000000 kwa usiku mmoja?pesa za walipakodi maskini ambao hawajui kuwa watakunywanini asubuhi,watakula nini mchana na jioni?alafu wengine waseme kuwa nipesa ya kawaida?kuna kila sababu ya kuwepo kwa hospitali nyingi aina ya mirembe kwa kila kijiji.
  10. rimbu

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Edward Hoseah

    Watakua wamekwenda kuweka mazingira ya kuficha fedha walizoiba.
  11. rimbu

    Tafsiri ya Niliyoyasikia njiani nilimopita kumhusu Magufuli

    Nimekuelewa majidi kwa post yako.
  12. rimbu

    Kumbe Dk Hamisi Kigwangalla ana CV ya kutisha!

    Tunakua maskini kwa kuendekeza cv za zawatu lakini wanachokifanya nikinyume na cv zao!tunataka watumie yale walio jifunza kwenye vyuo hivyo mnavyo vii bora katika kuisaidia jamii na hao ndo watakua wasomi wa ukweli.
Back
Top Bottom