Najua wengi hapa watanipinga kwa kuingiza siasa za maji taka pamoja na wale waliolishwa umagharibi kwa kujiita watetezi wa haki za binadamu huku wakitetea ustawi wa maovu.
Ni wakati sasa kwa nchi kuchukua maamuzi kwa manufaa ya Tanzania ya leo,na Tanznia ijayo.
Ni wakati muhafaka wa kuwanyonga hadharani wahusika wote watakao thibitika kujihusisha na madawa ya kulevya kwa namna yoyote bila kuangaliana usoni.
Biashara yoyote inatawaliwa na nguvu ya soko.
Jambo la muhimu hapa ni mamlaka husika kuhakikisha soko linakuwa disturbed kwa namna yoyote!
Mathalani, watakapo kamatwa mateja wote wa madawa ya kulevya na kuuawa hadharani kwa kupigwa risasi, hii itajenga hofu kwa watumiaji ambao wengi ni matokeo ya uvivu na kupendea anasa na wamejiingiza huko kwa makusudi ilihali wakifahamu madhara.
Kampeni ya kuwauwa watumiaji hadharani itakuwa nguzo katika kuzuia watumiaji wapya maana hakuna atakaye kuwa tayari kupoeza shingo yake maana madhara yanajulikana.
Ukifanikiwa kuwauwa mateja ambao kimsingi ndio soko tegemewa, ni dhahiri soko litayumba na hapo hutakuwa na haja tena ya kutumia rasilimali nyingi za taifa kuwatafuta wazalishaji au wasafirishaji wakubwa maana hakuna atakaye kuwa tayari kufanya kazi ya hatari isiyo na soko la uhakika.
Hapa mtu anaweza asinielewe ninapo kazania mateja badala ya Madon wenyewe. Katika mtizamo hafifu huwezi kuona moyo wa biashara hii ya madawa ya kulevya.
Hapa mimi siwatazami mateja kama mateja bali kama moyo wa biashara yenyewe ambao kimsingi ndili soko lenyewe linaloshindaniwa na kutegemewa nawazalishaji na wasafirishaji wakubwa.
Faida kubwa ya njia ya kuwauwa mateja ni kwamba serikali itaokoa kiasi cha fedha kikubwa sana kinachotumika katika kuwekeza katika miundo mbinu ya kukagulia madawa ya kulevya sehemu mbali mbali, pia pesa nyingi zinazotumika kufanya oparesheni za kuwasaka wauzaji na wasafirishaji zitaokolewa.
Halikadhalika, mapesa mengi yanayotumiwa na serikali katika kununulia dawa za kuwatibu mateja zitakuwa zimeokolewa na kuelekezwa katika sekta zenye uhitaji wa lazima kwa watanzania wote.
Mwisho nimpongeze Mh.JPM kwakuweka wazi kuwa serikali yake haitojihusisha na watanzania waliohukumiwa kunyongwa nchi za nje baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya.
Hii ndio kauli dhabiti ya kiongozi shupavu ambayo inatoka kwa mpambanaji,jemadari mwenye dhamira.
Kama jitu likikamatwa kwa biashara hizi chafu acha linyongwe huko huko hakuna serikari kujihusisha.
Tukitaka kudhamiria mapambano, hakuna kutazamana usoni ndugu zangu vinginevyo tutazunguka na kurudia tulipokuwa jana.
Wapo wanasiasa na wanaharakati uchwara watakao jifanya kupinga, kumbuka hao wote ni wanufaika wakuu wa buashara hii ila kwa macho mepesi jamii haito watambua mpaka iwepo dhamira ya kweli katika mapambano haya makuu.
Naomba kuwasilisha kwenu wakuu!