Recent content by Rightman

  1. Rightman

    Barua ya wazi kwa Mhe. Waziri wa nchi ofisi ya raisi (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa

    YAH: MADAI MBALIMBALI YAKIWEMO POSHO YA KUJIKIMU WATUMISHI AJIRA MPYA, MALIPO YA LIKIZO NA MALIPO YA SAFARI ZA KIKAZI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA Mhe Waziri wa TAMISEMI, kumekuwa na changamoto na usumbufu mkubwa sana juu ya stahiki mbalimbali za watumishi katika Halmashauri ya Ngara...
  2. Rightman

    Mayele angetetema Mara ngapi mechi ya Orlando pirates vs Simba

    Ni lini Manyele amefunga hatrick hata na hivi vitimu vya NBC tu kavishindwa[emoji1787][emoji1787]
  3. Rightman

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna wimbo zamani nilikua nikiusikiliza unaitwa maya nahisi Ila ulikua Kuna kipande wanaimba "mtu alikuwa mtumishi wangu Leo amekua bwana "
  4. Rightman

    List ya Movies ambazo smart people wataziona zipo More interesting

    Nipe series inayofanna na supernatural
  5. Rightman

    List ya Movies ambazo smart people wataziona zipo More interesting

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu alikua ananiacha hoi yaan
  6. Rightman

    List ya Movies ambazo smart people wataziona zipo More interesting

    Deen Winchester [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] namkubali I Sana pamoja Crawley
  7. Rightman

    Mazeru Karate

    Ndio hawahawa wakujifunza uchochoroni tu. Nayeye anatafuta wake [emoji23][emoji23][emoji23]
  8. Rightman

    Vijana acheni huu upuuzi wakutukana serikal na viongozi

    We umechoka na matusi tuuu je kushuhudia damu ya wasio nahatia ikimwagika haujachoka?
  9. Rightman

    Nimeamua kujinyonga, kwaherini wana JF

    Anajinyonga kwa sumu?????? Duuu huyo mkali
  10. Rightman

    CHADEMA washinda Udiwani Kata ya Malambo

    jembe afrika;14625308]Sijui kama Nitapiga kura tena!!! Never Give Up
  11. Rightman

    WanaCCM mmemsikia Dr. Masaburi?

    Haswaaaa yaaani kaoshwa yeye ha ha ha ha ha
Back
Top Bottom