CHADEMA washinda Udiwani Kata ya Malambo

CHADEMA washinda Udiwani Kata ya Malambo

Hivi mlishinda kiti cha Urais na Wabunge? Je kati ya kata 3957 mmepata Kata ngapi? Ngoja nyumbe wenzio waje kukutea

Kuwa na Akili basi! Ujinga unadhani nao ni fani (hakuna binadamu Nyumbu).

CCM imerithi TANU 1977 kwa kila kitu hadi majengo na CHADEMA ni ya miaka ya 1990s kasi ya ukuaji ni ya ajabu mno!!
 
Ccm yashinda udiwani kata ya matongo wilaya ya Bariadi na kufanya idadi ya madiwani halmashauri ya wilaya kuwa 28 dhidi ya 3 za chadema. Halmashauri ya mji ccm 9 chadema 1
 
jembe afrika;14625308]Sijui kama Nitapiga kura tena!!!

Never Give Up
 
Hivi mlishinda kiti cha Urais na Wabunge? Je kati ya kata 3957 mmepata Kata ngapi? Ngoja nyumbe wenzio waje kukutea

ungekuwa mpenda haki na demokrasia usingeandika ulichokiandika,hv hujui kabisa ni nani alishinda kihalali urais kupitia box la kura???
 
Nitapiga kura mpaka haki itakapopatikana.

Nmetangaza hali ya hatari dhidi ya ccm.kila mwanaccm nikikutana nae tusi la nguoni kisirisiri moyoni mwangu.mf.k...ma wewe .mngese n.k.
 
Nitapiga kura mpaka haki itakapopatikana.

Nmetangaza hali ya hatari dhidi ya ccm.kila mwanaccm nikikutana nae tusi la nguoni kisirisiri moyoni mwangu.mf.k...ma wewe .mngese n.k.

Hahahahahaaa duh!
 
Ma jangili sa hivi yameelekeza nguvu zao kwa spika ndo mana huko chadema inachukua tu yangekuwepo huko lazima vilio vingetanda
 
Hivi mlishinda kiti cha Urais na Wabunge? Je kati ya kata 3957 mmepata Kata ngapi? Ngoja nyumbe wenzio waje kukutea
Jibu unalo kwani 2010 mlikuwa na kata ngapi? Je 2015?
 
Haya mambo sitamani kuyaona wala kuyasikia tena......basi tu sina jinsi.

Sijui kama Nitapiga kura tena!!!

ni dhahiri inaonesha hii ni mara yenu ya kwanza kupiga kura.................kwa mioyo hii sijui nchi hii ikama itakombolewa....
siku zote dhuluma haishindi haki..ni suala la muda tU..MWAWEZA MSIONE MATUNDA YA JUHUDI ZENU LAKINI FANYA/ANDAA KWA VIZAZI VIJAVYO..
 
Hivi mlishinda kiti cha Urais na Wabunge? Je kati ya kata 3957 mmepata Kata ngapi? Ngoja nyumbe wenzio waje kukutea
hoja ni chadema yashinda udiwani,uchaguzi wa rais ulishapita na mshindi alishatangazwa,mbona mnakuwa kama makoikoi? Au rais akishatangazwa ndiyo basi hakuna kutangaza matokeo mengine?
 
Tutawanyoosha tu..CDM kiboko yao
Taarifa za habari zinasema watu wamesusia chaguzi kwa sababu ya matokeo ya urais nadhani ni wa kupuuzwa vinginevyo chadema wasingeshinda huku. Unasusia uchaguzi ukiona huwezi kushinda
 
Mkoa wa Arusha Jimbo la NGORONGORO

Chadema washinda kiti cha udiwani Kata ya Malambo

Mkoa Wa mbeya
MKUDE IGNAS MSASI- CHADEMA inaongoza kata ya Rujewa.

S/M Nyeregete 2
CHADEMA 101
CCM 32

S/M Nyeregete 1
CHADEMA 126
CCM 39

OFISI YA MTAA IBARA 1
Ccm 66
Cdm 83
Cuf 1
Nccr 6

OFISI YA MTAA IBARA 2
Ccm 93
Cdm 70
Cuf 3
Nccr 3
Zilizoharibika 3

Ofisi ya kata namba 1
chadema 70
ccm 64

Rujewa1
ccm 50
CDM 95

Godown 1
Ccm 69
Cdm 71

Godown 2
Ccm 67
CDM 88

Godown 3
Ccm 69
Cdm 80

Uhamila 1
Ccm 40
Cdm 72

Rujewa 2
Ccm 58
Cdm 92

Rujewa 3
Ccm 57
Cdm 92

Rujewa 4
Ccm 55
Cdm 56

Ofisi ya mtaa Isisi 1
CDM 113
CCM 93

Ofisi ya mtaa Isisi 2
CDM 110
CCM 88

Secondary Rujewa 2
CDM 80
CCM 90

Secondary Rujewa 1
CDM 102
CCM 71

S/M Isis 1
CDM 76
CCM 49

S/M Isis 2
CDM 56
CCM 55

S/M Rujewa
CDM 94
CCM 57

Ofisi ya mtaa Uhamila 2
CDM 118
CCM 99.

Unauhakika atatangazwa anayeonyesha kushinda? nchi hii ina formula za ajabu! subiri tuone!:lock1:
 
Back
Top Bottom