Recent content by RIGHT

  1. R

    JamiiForums Tanzania Abiria tuzidishe kelele kumbe dereva anatusikia!

    Lori aina ya Bedford
  2. R

    JamiiForums Tanzania Serikali: Fedha za Maafa ya Tetemeko Kagera zimeelekezwa kwenye Taasisi za Umma

    Lazima kutakuwa na shida mahali fulani. Wakati Ikulu ilitoa taarifa kwamba Uingereza walitoa pesa kuchangia maafa hayo, lakini Waziri Mkuu akisoma hotuba bungeni juzi alisema kwamba Uingereza waliahidi kutoa Shilingi 6 bilioni. Ipi ni kweli sasa, walitoa au waliahidi?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Serikali Msaidieni Mwekezaji Asifunge Kiwanda

    Wana wa Israel walitoka utumwani Misri, sisi (Tz) tunatoka ktk utumwa wa nani?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa ndege ya pili ya Air Tanzania tayari kwa kuja nyumbani

    Hii kazi unayofanya ya kuleta utetezi mwingi humu jf inaonyesha kuna walakini na hizo ndege
  5. R

    JamiiForums Tanzania Siku Rais Magufuli alipokuwa MC wa Dr. Dau

    Rama, ukiona wenzako wananyolewa wewe tia maji kichwani.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais, bila "Polisi Jamii", majambazi na uhalifu vitaimaliza jamii ya Watanzania

    Kauli za Rais zinatisha. Sijui hali itakuwaje huko mbeleni. Ngoja tusubiri tuone.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Sumaye arudisha fomu ya kuwania Uenyekiti kanda ya Pwani

    Kwa taarifa yako hata walio asisi CHADEMA walitoka CCM. Hakuna jambo la ajabu hapo. Mpinzani mzuri ni yule anaye mfahamu vizuri adui yake. Sumaye anaifahamu vizuri CCM ndio maana wana hofu.
  8. R

    JamiiForums Tanzania RPC Dodoma adai hawakuzuia mkutano wa CHADEMA, walichozuia ni bendera

    Huyu RPC lazima apandishwe cheo
  9. R

    JamiiForums Tanzania Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

    Ukweli ubaki kuwa ukweli hata kama unauma. Prof. yuko sahihi, mlaji wa mwisho (end user) ndio mlipaji wa VAT. Ktk hili tukubali kwamba watumiaji wa huduma za kibenki ndio tunabeba mzigo.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

    Watu hawapendi kuambiwa ukweli.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Meya wa Kinondoni amjibu Rais Magufuli, hakuwa na mwaliko wa kuhudhuria uzinduzi wa Polisi

    Mh. Rais anasema maendeleo hayana chama, watendaji wake wamjibu maendeleo yana chama. Rais anakazi kwelikweli.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika awaamuru Wabunge wa Upinzani watoke haraka

    Unataka kusema kwamba waliobaki bungeni hawawezi kujenga hoja?
  13. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, fika huku SUA utusaidie kuondoa ukabila huu

    Malimbikizo ya mishahara SUA ni tatizo kubwa sana linalo punguza hata morali ya wahadhiri ktk kazi zao.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Dondoo za Bajeti 2016/2017, kujitegemea kwa asilimia zaidi ya 80

    Jamaa hajui kama mkopo nao ni msaada wenye masharti.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Shein afuta Safari za nje Zanzibar, afuta posho azindua baraza la wawakilishi

    Magufuli ni Rais wa Tanganyika.
Back
Top Bottom