Ko mtoa mada kosa la huyu bwana ni lipi alipotaka kufanya mapenzi na wewe au kudindisha baada ya kukuona au??
Kipi kilikukwaza mpaka ukaalika rafiki zako Kwa ajili ya kumkomoa kwenye upande wa bills
Ni kweli kabisa tendo la ndoa linakukera kiasi hicho ???
Msaada
Watanzania tuna unafiki mwingi sana Kuna mtu ambaye hafanyi mapenzi humu isitoshe nasty words hua zinatumika sana mnapokua na mtu yule ambaye mshawahi kufanya nae mapenzi
Kwa nilivyoona Ile clip yule dogo keshawahi fanya mapenzi na yule mama na huenda sio mara moja
Ushenzi ni kumrekodi mtu...
Toka amekuja tuliamini ni international striker ambaye atatoa quality ambayo huwezi kuipata Kwa local players matokeo yake imekua ni tofauti
Kapewa muda,katiwa moyo na mashabiki alipelekewa mpaka kuku + mabango ya kwamba tuko pamoja lakini wapi goli ambalo katengenezewa leo kakosa ambalo...
Wapo wengi na Mimi ni shahidi namba 1 kama wewe sio miongoni mwao ni sawa wala hakuna shida hata kidogo
Hata mtaani wanaume wengi wanaishi na watu design yako ni preference
Yah na namuombea Kwa mungu azidi kufanikiwa siku akiyumba ndo atajua rangi halisi za mtu anayekaa Naye ndani
Yani unakopa Kwa ajili ya mtu unaingia madeni Ili biashara ya mtu isimame inaingiza mara 2 kuliko kipato chako hata kutoa msaada kuboost madeni ambayo unajua yalikopwa Kwa ajili yako...
Mumeo ana hasara
Mwanamke asiyekuhurumia hafai hata kidogo kukaa naye
Na uzuri red flag hua zipo mwanzoni ila tunachagua kuvumilia matokeo yake ndoa inabaki ni jela ambayo huwezi kutoka
Hotuba ya jana ilikua ni kama inataka kufikisha ujumbe kuhusiana na hali halisi ya kinachoendelea pale unyamani
Kwa anayefahamu Kwa mujibu wa katiba ya simba muundo wa kimamlaka uko vipi upande wa mwekezaji na wanachama je budget ikitangazwa ni kila upande unachangia au upande wa mwekezaji tu...
Umeona Yani Kuna watu wana akili ndogo mno wanasahau hata elimu yetu yenyewe ilivyo mtu mwenye ufaulu huo anaweza akaanza hapo certificate akaenda diploma mpaka degree akawa sawa na yule mtu ambaye alienda advance akiwa na 1 au 2
Kubishana na mpumbavu ni kupoteza muda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.