nilikuwa nauliza hivi mwanamke au binti akiwa anaumwa tumbo la chini ya kitovu hivi anaweza akawa na tatizo gani au ni tatizo gan huweza kupelekea hyo hali p'se naomba ushauri
nilikuw naomba ushauri eti kutafuna mchele kunaweza kunisababishia mim kupata apendix au kifuko cha appendix kujaa? please naomba ushaur coz nimedevelop hii habit ya kutafuna mchele na nashindwa kujizuia
niko mza nimechaguliwa st joseph university of agriculture, chuo kiko songea, BACHELOR OF TECHNOLOGY IN AGRICULTURE - vp facult iko fresh au nifanye mipango ya kubadili, tafadhali elders naomben ushauri wenu!! p'se
ndugu wana jamii mimi mwenzenu nimepata tatizo, nimeshajirejista tcu ila kulog in inafeli, hata vyuo sijachagua, tafadhali naombeni msaada wenu nifanye nini! muda unaniishia. please nisaidieni
jaman mimi nina ugonjwa unanisumbua yaan sundo sundo zinaota masikioni kwa nje na huu ugonjwa sijawahi kuupata ndo umenipata, mi sipendi hii hali tafadhali naomba niambien tiba yake nianze mara moja, help me p'se!
jaman mi na Phy F Chem E Math E G/s F, je! Naweza kupata chuo? yan inawezekana nikaenda chuo kusotea degree? au ndo imekula kwangu? naomba msaada wenu wanajamii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.