tatizo kwenye kulog in tcu


R

ricky eliud

Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
15
Likes
0
Points
0
R

ricky eliud

Member
Joined Dec 21, 2012
15 0 0
ndugu wana jamii mimi mwenzenu nimepata tatizo, nimeshajirejista tcu ila kulog in inafeli, hata vyuo sijachagua, tafadhali naombeni msaada wenu nifanye nini! muda unaniishia. please nisaidieni
 
Darius

Darius

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Messages
1,963
Likes
76
Points
145
Darius

Darius

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2013
1,963 76 145
ndugu wana jamii mimi mwenzenu nimepata tatizo, nimeshajirejista tcu ila kulog in inafeli, hata vyuo sijachagua, tafadhali naombeni msaada wenu nifanye nini! muda unaniishia. please nisaidieni
nahc mtandao utakuwa busy coz hta mm inakataa ku log in wakat nina account tayar, shida yangu ni kubadili kozi
 
R

ricky eliud

Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
15
Likes
0
Points
0
R

ricky eliud

Member
Joined Dec 21, 2012
15 0 0
tangu jumapili nahangaika lakini bado, wengine wananishauri ninunue vocha mpya
 
Analogia Malenga

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Messages
1,102
Likes
26
Points
135
Analogia Malenga

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2012
1,102 26 135
Angalien ujumbe unaokuja, kama umekosea password halafu wekeni nijue niwasaidiaje. Kuhusu vocha haina haja labda uje ujumbe kuwa hawaitambui hiyo vocha. Weken ujumbe unaokuja ukitaka ku log in
 
F

Frekim

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2013
Messages
321
Likes
1
Points
35
F

Frekim

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2013
321 1 35
jaman saidieni na mm vocha unanua wapi?
 
R

ricky eliud

Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
15
Likes
0
Points
0
R

ricky eliud

Member
Joined Dec 21, 2012
15 0 0
vocha zinapatikana kwenye tawi lolote la NBC bank TSHS 50,000/=
 

Forum statistics

Threads 1,274,693
Members 490,736
Posts 30,521,144