Recent content by Ricky Blair

  1. Ricky Blair

    Nusu ya wasanii wa Bongo fleva ni mashoga asema Chidy Benzi

    Uyu Chidi Benz c kapostiwa na Mange anatembea na shoga😂😂😂
  2. Ricky Blair

    Umewahi kufukuzwa na mwenye nyumba wako?

    😂😂😂 na ukafukuzwa?
  3. Ricky Blair

    Umewahi kufukuzwa na mwenye nyumba wako?

    Je umewahi kufukuzwa na mwenye nyumba wako na kwanini?
  4. Ricky Blair

    Kuna mabasi yanatoka Dar kwenda Maputo

    Hivi kuna mabasi yanayoeleweka kama Tahmeed ya kwenda Maputo kutokea Dar?
  5. Ricky Blair

    Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

    Jeshi is tough; pili TZ hakuna lazima kujiunga jeshi km Israel; hata izo JKT cjui after form 6 hata km ukichaguliwa unaweza kuzikwepa tu. Sasa mtu unataka kujiunga jeshi unataka wawe trained km anaenda kucheza mwimbo wa Shilole?😀 Be serious bwana. Kwanza TZ hamna anayelazimishwa dini kisheria au...
  6. Ricky Blair

    Wanafunzi wa Tanzania 13 waliopata ufadhili wa Masomo nchini Poland wanyimwa Visa na Ubalozi

    Ohooo basi ngoja nikuache coz naona nadili na speacial case
  7. Ricky Blair

    Wanafunzi wa Tanzania 13 waliopata ufadhili wa Masomo nchini Poland wanyimwa Visa na Ubalozi

    Unaelewa hata ukichoandika mkuu? Schengen area ni eneo la Europe ambapo nchi 27 unaweza kutembea visa free na Poland moja wapo. Russia au Romania hazipo kw Schengen sasa unaposema Poland imefukuzwa si kweli? Wanaweza kujitoa baada ya negotiations nyingi na kura km UK ilipotoka EU. Soma vizuri...
  8. Ricky Blair

    Wanafunzi wa Tanzania 13 waliopata ufadhili wa Masomo nchini Poland wanyimwa Visa na Ubalozi

    Me nilienda kuomba visa Poland ya tourism tu; nilinyimwa hata ckurudi kuhangaika tena. Kwa ambao wanawasema wenzao kw oh wajinga cjui kulilia visa; sikilizeni; wame apply scholarship na wamepata; km walikuwa hawataki kuwapa scholarship waafrika wangesema; pia kumbuka hawa watu wa Ulaya, Marekani...
  9. Ricky Blair

    Kwanini Tanzania haina Ubalozi katika nchi hizi?

    Kwani ukipata mchongo au kikazi utachagua? Sio kila nchi unaenda kwa tourism mkuu
  10. Ricky Blair

    Kwanini Tanzania haina Ubalozi katika nchi hizi?

    Hivi inakuwaje Tanzania tunapitwa na nchi hata Kenya na zingine kibao ndogo na maskini zaidi yetu kuwa na ubalozi wa nchi nyingi ila sisi mpk leo ubalozi wa Portugal hamna, nchi ya maana kama Australia hamna, Ukraine hamna, Argentina hamna, Israel hamna. Tuanze kuingia gharama kwenda nchi za...
  11. Ricky Blair

    Mapigano hatari kwenye Series zote

    Bado sijawahi kuona mapigano hatari kw series zote zaidi ya hawa wawili.
  12. Ricky Blair

    Makampuni na Serikali muajiri watu kutokana na uwezo wao na sio jinsia

    Ifike mahala watu na makampuni na serikali muajiri watu kutokana na uwezo sio jinsia tu ya kuweka wanawake sekta fulani 50/50. Sidhan kama kuna ubaya wowote watu wa aina yoyote kufanya kazi sehemu fulani; ila iendane na sifa. Kama umesoma udaktari na ukapata asilimia 60% wanawake poa, unesi...
Back
Top Bottom